Kumbe Tanzania ilikopa fedha World Bank kuendeleza bandari, DP World anakuja kutumia fedha hizo kufanya kazi ambayo Tanzania imeikopea fedha WB-SOMA

Kumbe Tanzania ilikopa fedha World Bank kuendeleza bandari, DP World anakuja kutumia fedha hizo kufanya kazi ambayo Tanzania imeikopea fedha WB-SOMA

Let us agree to disagree, usinilazimishe niamini unacho amini, hoja yangu ni kwa DP world itaongeza ufanisi na mapato serikalini yataongezeka.......sisi wabongo tumeshindwa kuendesha bandari kwa mda mrefu
Wabongo gani walioshindwa? Wapo watanzania wana uwezo mkubwa na uzalendo. Ila wanapigwa vita. Sehemu kama hizo wanapelekwa wanaojuana, hata kama hawawezi
 
Hao watu na mkataba wao wa kimangungo tuendele kuwapinga yaani tusipoe.

Walete drama za Kila aina kuzima huu moto. Tusipoe hadi waele kuwa wenye nchi ni wananchi

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Naijua Konecrane na nimeshapanda na kui Guide.

Kampuni zote kubwa zina Exclusivity usitegemee, kampuni XXX iingize Trilioni kadhaa Konecrane halafu mzigo huo huo wapewe kampuni YYY lazima kuwe na period ya miaka kadhaa watumie kisha wapewe na wengine,

pia kuna personalization nyingi sana zinafanywa. Kuanzia Software itakayotumika, size ya Bandari, Crane zitakazotumika, controller, sehemu za Kuhifadhia na mambo kibao, hivi vitu ni Complex sana.

Huwezi ku Achieve same System kama Dp world na player wengine wa kubwa wa Bandari. There is a reason kwanini bandari zote zinapewa kampuni binafsi mpaka Nchi ambazo hazi entertain hizi mambo kama China.
Wanapewa ku simamia " management" au kuwekeza na kusimamia ?

Na mikataba yao ni kama huu wa kwetu?
 
Zinauzwa serikali aitaki kununua kwa sababu ni hela nyingi serikali inaona kama kuna mtu yupo tayari kununua na kurudisha hela yake wampe muda; basi iwe ivyo (sasa usije kusema muda wa milele) maana hilo halipo.
Ok, tuambie wewe, ROI yao ni muda gani? Mkataba wao utakuwa hai hadi lini? Hilo ndilo swali kuntu linaloumiza watu vichwa,ukiweza kulijibu kwa ufasaha utakuwa umetusaidia sana.
 
jiwe kabla hajaitwa mwishoni huku aliweka 1.4 Tr uendelzaji Bandari,it’s true nakumbuka na iliongezwa kina na baadhi ya mitambo ilishaanza kuwasili...pamoja na kuongeza kina ilikua tayari..
 
Kama wana akili timamu kutakuwa na kipengele cha kupimana na kutokumuongezea muda akishindwa.

Hila kwenye nchi ambayo meli zina subiri kutia nanga majini kwa siku kadhaa kisa uwezo mdogo wa kushusha mizigo; sioni ufanisi ukiongezeka na mizigo isiongezeke jumlisha na nchi zinazotumia hiyo bandari na zenyewe zinakuwa kiuchumi.

Dar port ni cash cow which hasn’t been utilised efficiently it’s time ya kuita watu wenye uzoefu wa kimataifa tena kwenye busiest ports duniani kama Rotterdam, Antwerp, Sharjah na Southampton; DP world wapo kote huko.
Je kijiografia Dar Port ni Potential Mshindani wa Dubai Port?

Kumpa DP bandari yetu ni kuua ushindani dhidi ya Dubai Port..

Kwa nini bandari za Kenya, Eritrea, Djibouti na Somaliland walikataa uwekezaji wa DP World, wao hawana akili kuzidi sie?

hapa sijagusia vipengele vya mkataba ulosainiwa .

Pamoja na hayo hapo juu.
Ufanisi wa DP World hauna mashaka, suala ni DHAMIRA YAO NA AINA YA MKaTABA ULOELEMEA pande mmoja
 
Nonsense. Hata huelewi kilichoandikwa unaumia roho tu kwa hisia za wakwetu.
Congo hapo Dp world kawekeza Trilioni 3, halafu tunadanganyana humu Eti anakuja kutumia Mkopo wetu bank ya Dunia. Unafikiri kutransform bandari ni kazi ya vimilioni kadhaa

Kama Mkopo wenyewe ndo huo hata mishahara tu ya Bandari haulipi. Tusitaniane hapa.
 
Badala ya kutafuta makala ya bandari ya Dar na kumsikiliza mkurugenzi wa port.

Yote hayo keshayaongelea issue ni cranes za kisasa ambazo hazitoshi.

Pili wawekezaji wameelezea wanachoenda kuongezea wao hapo bandarini.

Wewe unatoka kwenda kumsikiliza kichaa mmoja Twitter ndio source yako; badala ya kuwasikiliza wahusika tena video wameonyesha ya kilichofanyika bandarini.
Jibuni hoja, raia uwekezaji wanautaka ila vipengere vinavyoonekana vibovu virekebishwe. Siyo kusema tu ooh haya nimakubaliano ya awali., ujinga tu.
 
Sharjah ni kama nyumbani kwao ipo UAE

Huko Antwerp, Rotterdam na Southampton kila sehemu watakuwa na mikataba tofauti.

Mfano Southampton wana operation contract ya container terminal, wameingia mkataba tena na operator mwingine humo humo ndani ya kuwafanyia services machines zao, bado wana contract ya security ya port nzima.

Sio mambo ya kukariri kila nchi watakuwa na mikataba yao, maswali mengine kuyajibu yanataka research ya kutosha wana mikataba gani kila sehemu.

Tanzania watakuwa na mkataba wa development sehemu zilizotajwa tu kwenye appendix 1 (na term zenyewe bado awajakubaliana na TPA) si ajabu wakashindwana huko mbele kufikia muafaka.

Kwa hivyo kusema watakuwa na mkataba kama wetu wakati aupo bado ni upotoshaji.

Kilichopo kwa sasa ni framework ya kuingia mkataba lakini hakuna mkataba wowote wa utekelezaji ambao wameshakubaliana mpaka sasa katika maeneo ya ushirikiano yaliyo orodheshwa.
Inawezekana mifano ya antwerp na rotterdam si sawa na hapa kwetu. Huko kwa wenzetu umetaja tu operational contract je wana framework contract au la

Na hizo framewor contract kama zipo ni sawa na ya kwetu.

Bila shaka hizo framework contract zinapitishwa na mabunge ya nchi husika kama huu ulio pita hapa kwetu. Hivo ni nyaraka ya umma

Mfano wa framework tulosikia , bila kuuona ni huko Marekani walikokataa uwekezaji huu wa DP.

Kama ulivyosema, utafiti unahitajika kwenye suala hili kujua wenzetu wamefanyaje ili kupata kitu kizuri cha manufaa.

Na si kuingia jambo kibubusa kwa ka kitandugaho
 
Let us agree to disagree, usinilazimishe niamini unacho amini, hoja yangu ni kwa DP world itaongeza ufanisi na mapato serikalini yataongezeka.......sisi wabongo tumeshindwa kuendesha bandari kwa mda mrefu
Wewe Ni punguani kaa kimya. Empty set.
 
Kwani mkataba wa Dp world na Tpa tayari? Mbona mnaendekeza Cheap Politics hivi?

Dp world vifaa vyao sio vya kitoto eti waje watumie Existing infrastructure, Hizo Crane na miundombinu mingine capability yake wanayo wao tu ama ni kampuni chache zenye uwezo huo.

Kusema kwamba Dp world wanatutegemea sisi eti mkopo wetu wa World Bank uwawezeshe wao ni chai ya mchana.
Unajua kilichopitishwa bungeni?

Unajua kinachopigiwa kelele?

Mbona hili taifa Lina wapumbavu , na watu wa hovyo kiasi hiki?
 
Upo sawa mkuu. Baada ya kuzingatia sheria za nchi, cha msingi ni ufanisi na maximum profit.
Haahaaaaaa.... Wee jamaa una uvumilivu Sana asee. Yaani umemjibu kwa upole Sana.

Yaani hii nchi Ina watu wa hovyo Sana. Watu wa bora liende.

Yaani mm nimemjibu hovyo Sana!
 
Wanapewa ku simamia " management" au kuwekeza na kusimamia ?

Na mikataba yao ni kama huu wa kwetu?
Vyote kuwekeza na kusimamia, Dp world katransform Bandari Karibia zote Ulaya kwenda Digital, na sasa hivi hata Crane zao ni remote tu. So ili waweze kufanya hivi inabidi kwanza wawekeze halafu ndio logistics zifuatie hivi vitu vinaenda sambamba.

Mkataba wa Dp world na Tpa kwa uelewa wangu bado hatuujui.
 
Hii ni kutoka report ya Worl Bank .................................BY MARIA SARUNGI

Muhimu kuhusu DPW na mradi wa Benki ya Dunia

Pesa za mkopo wa @WorldBankAfrica zimetumika (na kukamilika)
👉🏽 kupanua na kuimarisha Gati 1-7 na kujenga gati mpya Gerezani
👉🏽kupanua mlango wa bandari hadi Gati 11
👉🏽kuboresha na kuunganisha na reli
👉🏽 Kupanua na kuimarisha Gati 8-11
👉🏽Kuna RORO terminal ilijengwa na kukamilishwa

Sasa tuangalie wanachodai DP World kufanya kwa mujibu wa IGA
Cha kwanza kikubwa eti kujenga, kuendesha na kusimamia RoRo terminal na Gati 1-4 na gati 5-7
🙄
Yaani pesa zote zimewekezwa za walipa kodi kupitia mradi wa sasa wa WB alafu wao wanakuja kuendesha na kusimamia? Wanawekeza nini??

Ndiyo maana mkataba haujawekwa thamani ya uwekezaji wao 😄 kumbe wanadandia mradi unaoelekea kukamilika waje wajisifu!

YAANI KIUFUPI WANAKUJA KUTEKELEZA MRADI WA PESA ZA MKOPO WA WORLD BANK

Nyieeeeeeeeee!
Mnaotetea mkataba huu mnajua kuwa mnatumika kutetea ulaji wa genge ndogo!?
Ila #TutaelewanaTu
Hatari sana
 
we

we kumbe huna akili kiasi hicho? Bure kabisa. Kwanza taarifa zako ni za uwongo, pili serikali imejenga miundo mbinu DP World anakuja kuendesha bandari. Huoni tofauti hapo? Aliyejenga barabara za mradi wa DART ni serikali lakinin anayeendesha mradi wa mabasi ni mwingine, hapo huelewi au una matatizo gani
 
Hii ni kutoka report ya Worl Bank .................................BY MARIA SARUNGI

Muhimu kuhusu DPW na mradi wa Benki ya Dunia

Pesa za mkopo wa @WorldBankAfrica zimetumika (na kukamilika)
👉🏽 kupanua na kuimarisha Gati 1-7 na kujenga gati mpya Gerezani
👉🏽kupanua mlango wa bandari hadi Gati 11
👉🏽kuboresha na kuunganisha na reli
👉🏽 Kupanua na kuimarisha Gati 8-11
👉🏽Kuna RORO terminal ilijengwa na kukamilishwa

Sasa tuangalie wanachodai DP World kufanya kwa mujibu wa IGA
Cha kwanza kikubwa eti kujenga, kuendesha na kusimamia RoRo terminal na Gati 1-4 na gati 5-7
🙄
Yaani pesa zote zimewekezwa za walipa kodi kupitia mradi wa sasa wa WB alafu wao wanakuja kuendesha na kusimamia? Wanawekeza nini??

Ndiyo maana mkataba haujawekwa thamani ya uwekezaji wao 😄 kumbe wanadandia mradi unaoelekea kukamilika waje wajisifu!

YAANI KIUFUPI WANAKUJA KUTEKELEZA MRADI WA PESA ZA MKOPO WA WORLD BANK

Nyieeeeeeeeee!
Mnaotetea mkataba huu mnajua kuwa mnatumika kutetea ulaji wa genge ndogo!?
Ila #TutaelewanaTu
Sasa ulitaka bandari ikae isitumike?

Hilo deni utalilipa na nini?
 
Back
Top Bottom