mambio
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 2,668
- 3,428
Hii ni kutoka report ya Worl Bank .................................BY MARIA SARUNGI
Muhimu kuhusu DPW na mradi wa Benki ya Dunia
Pesa za mkopo wa @WorldBankAfrica zimetumika (na kukamilika)
๐๐ฝ kupanua na kuimarisha Gati 1-7 na kujenga gati mpya Gerezani
๐๐ฝkupanua mlango wa bandari hadi Gati 11
๐๐ฝkuboresha na kuunganisha na reli
๐๐ฝ Kupanua na kuimarisha Gati 8-11
๐๐ฝKuna RORO terminal ilijengwa na kukamilishwa
Sasa tuangalie wanachodai DP World kufanya kwa mujibu wa IGA
Cha kwanza kikubwa eti kujenga, kuendesha na kusimamia RoRo terminal na Gati 1-4 na gati 5-7
๐
Yaani pesa zote zimewekezwa za walipa kodi kupitia mradi wa sasa wa WB alafu wao wanakuja kuendesha na kusimamia? Wanawekeza nini??
Ndiyo maana mkataba haujawekwa thamani ya uwekezaji wao ๐ kumbe wanadandia mradi unaoelekea kukamilika waje wajisifu!
YAANI KIUFUPI WANAKUJA KUTEKELEZA MRADI WA PESA ZA MKOPO WA WORLD BANK
Nyieeeeeeeeee!
Mnaotetea mkataba huu mnajua kuwa mnatumika kutetea ulaji wa genge ndogo!?
Ila #TutaelewanaTu
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.