Kumbe Tanzania ilikopa fedha World Bank kuendeleza bandari, DP World anakuja kutumia fedha hizo kufanya kazi ambayo Tanzania imeikopea fedha WB-SOMA

Hii ni kutoka report ya Worl Bank .................................BY MARIA SARUNGI

Muhimu kuhusu DPW na mradi wa Benki ya Dunia

Pesa za mkopo wa @WorldBankAfrica zimetumika (na kukamilika)
👉🏽 kupanua na kuimarisha Gati 1-7 na kujenga gati mpya Gerezani
👉🏽kupanua mlango wa bandari hadi Gati 11
👉🏽kuboresha na kuunganisha na reli
👉🏽 Kupanua na kuimarisha Gati 8-11
👉🏽Kuna RORO terminal ilijengwa na kukamilishwa

Sasa tuangalie wanachodai DP World kufanya kwa mujibu wa IGA
Cha kwanza kikubwa eti kujenga, kuendesha na kusimamia RoRo terminal na Gati 1-4 na gati 5-7
🙄
Yaani pesa zote zimewekezwa za walipa kodi kupitia mradi wa sasa wa WB alafu wao wanakuja kuendesha na kusimamia? Wanawekeza nini??

Ndiyo maana mkataba haujawekwa thamani ya uwekezaji wao 😄 kumbe wanadandia mradi unaoelekea kukamilika waje wajisifu!

YAANI KIUFUPI WANAKUJA KUTEKELEZA MRADI WA PESA ZA MKOPO WA WORLD BANK

Nyieeeeeeeeee!
Mnaotetea mkataba huu mnajua kuwa mnatumika kutetea ulaji wa genge ndogo!?
Ila #TutaelewanaTu

Hayo yote ya nini jambo muhimu ni ufanisi ili serikali iongeze mapato kupitia bandari........na hilo Dp world ndo imekuja kutekeleza basi, hata kama mkataba ni wa miaka 100 as long serikali ina pata faida na inahudumia wananchi wake vizuri na kufanya maendelo hamna shida tuache fitina za kijinga.
 
Mkuu,Kwanza hakuna fitna hapa bali ni wananchi kushiriki na kutoa maoni yao.Pili kama kuna sababu yoyote ile ambayo inaweza kufanya wananchi wawe na wasiwasi basi wanapaswa kupewa maelezo ya kuridhisha na sio kuambiwa kwamba wanaleta FITNA.Binafsi nimependa namna huu mjadala ulivyo na hasa ukweli kwmba umesaidia kuongeza ushiriki na uelewa wana wananchi kuhusu mustakabali wa wa nchi yetu.Kama DP world kweli watapewa hii kazi naamini kabisa hawataifanya kwa uzembe na baadhi ya hofu za wananchi hazitapitishwa kama sehemu ya makubaliano.

So kabla hatuajasema ni FITNA za kijinga Tujiulize iwapo kwanza kuna ukweli kwenye hayo ambayo yameelezwa hapo juu.Je ni kweli tumekop world BANK?Je DP world Wanawekeza KIASI GANI?Mkataba ni wa muda Gani?Watalipa Kiasi gani?

Wajibu wao ni upi,haki zao ni zipi?Wajibu wetu ni upi?Haki zetu ni zipi/Tujadili kwa uwazi maana wote tunataka WIN WIN DEAL
 
Agreement is same as contract. Makubaliano na mkataba ni kitu kilekile. Havina tofauti mbele ya sheria. Hao ni KULWA na DOTTO.
Ni ajabu wao wanasema kilichosainiwa ni makubaliano na si mkataba
 
Hii ni kutoka report ya Worl Bank .................................BY MARIA SARUNGI

Muhimu kuhusu DPW na mradi wa Benki ya Dunia

Pesa za mkopo wa @WorldBankAfrica zimetumika (na kukamilika)
👉🏽 kupanua na kuimarisha Gati 1-7 na kujenga gati mpya Gerezani
👉🏽kupanua mlango wa bandari hadi Gati 11
👉🏽kuboresha na kuunganisha na reli
👉🏽 Kupanua na kuimarisha Gati 8-11
👉🏽Kuna RORO terminal ilijengwa na kukamilishwa

Sasa tuangalie wanachodai DP World kufanya kwa mujibu wa IGA
Cha kwanza kikubwa eti kujenga, kuendesha na kusimamia RoRo terminal na Gati 1-4 na gati 5-7
🙄
Yaani pesa zote zimewekezwa za walipa kodi kupitia mradi wa sasa wa WB alafu wao wanakuja kuendesha na kusimamia? Wanawekeza nini??

Ndiyo maana mkataba haujawekwa thamani ya uwekezaji wao 😄 kumbe wanadandia mradi unaoelekea kukamilika waje wajisifu!

YAANI KIUFUPI WANAKUJA KUTEKELEZA MRADI WA PESA ZA MKOPO WA WORLD BANK

Nyieeeeeeeeee!
Mnaotetea mkataba huu mnajua kuwa mnatumika kutetea ulaji wa genge ndogo!?
Ila #TutaelewanaTu
UMEPITA PEMBENI SANA NIKWAMBA ANAYE WEKEZA NI MTANZANIA KWA MGONGO WA DP WORLD

HILO TUNALIJUA KITAMBO
 
Huna hoja.
Unazani DPW ndo wanaanza kufanya kazi za bandarini kwa mara ya kwanza hapa Duniani ?
kama huwajui sema tukupige shule uwajue. Nyie mnaviashiria vya ufisadi na mnajua kwa uwepo wa DPW hamtoiba kirahisi.
Toa takataka zako hapa, hao Dp wamefukuzwa somalia,Djbout wameshitakiwa na USA na Nchi nyingi kwa utapeli.
 
Taasis kushitakiwa ni kawaida tu kwenye Dunia ya mfumo wa haki.
Mbona hata serikali yetu hushitakiwa? Wakati fulani hata ndege zetu kuzuiliwa.

Taja kipengere chenye utata tueleweshane. Siyo tu una amka kutusumbua kumbe hata mkataba wenyewe huujui hata kipengere kimoja ni just mights.
 
Mkuu,Kwanza hakuna fitna hapa bali ni wananchi kushiriki na kutoa maoni yao.
Ndg nchi yetu ni ya demokrasia na wananchi wanashirikishwa kwa mjibu wa katiba kupitia bunge. Pengine unahoja lakini unamaanisha Watanzania wote tutoe maoni nchi nzima?
 
SIoni ubaya,Teknolojia inaruhusu kuweza kuwa na mjadala wa kitaifa.Mitandao kama JF,Television,Redio,etc yote hiyo inafanya upataji wa maoni uwe rahisi.

SO YES watanzania wote wenye nia na uwezo wa kutoa maoni washirikia katika kutoa maoni
 
Je hivyo ndo katiba na sheria za nchi zinataka?
 
Katiba inataka watu washiriki katika ujenzi wa Taifa kwa pamoja.SO yes ndivyo inavyotaka
Ndg unayo hoja na tunakaribia kuafikiana na hapa napekuwa katiba nikujibu kwa vifungu.

Kwa hiyo swala la DPW limekiuka kifungu kipi cha katiba au sheria?
 
Ndg nchi yetu ni ya demokrasia na wananchi wanashirikishwa kwa mjibu wa katiba kupitia bunge. Pengine unahoja lakini unamaanisha Watanzania wote tutoe maoni nchi nzima?
Tz sio nchi ye kidemokrasia(uhalisia), alafu unasema wananchi wanashirikishwa.hili la bandari kupewa dp world wameshirikishwa wapi na lini?

Hata bungeni limeenda baada ya kusaini IGA. Bunge ndio wanapelekewa kuidhinisha

Ilipaswa kabla hata ya kwenda kusiani IGA na zile MOU zote, waanzie hungeni kujadili walikubaliana ndio IGA na MOU zisainiwe
 
Hii ni kutoka report ya Worl Bank .................................BY MARIA SARUNGI

Muhimu kuhusu DPW na mradi wa Benki ya Dunia

Pesa za mkopo wa @WorldBankAfrica zimetumika (na kukamilika)
👉🏽 kupanua na kuimarisha Gati 1-7 na kujenga gati mpya Gerezani
👉🏽kupanua mlango wa bandari hadi Gati 11
👉🏽kuboresha na kuunganisha na reli
👉🏽 Kupanua na kuimarisha Gati 8-11
👉🏽Kuna RORO terminal ilijengwa na kukamilishwa

Sasa tuangalie wanachodai DP World kufanya kwa mujibu wa IGA
Cha kwanza kikubwa eti kujenga, kuendesha na kusimamia RoRo terminal na Gati 1-4 na gati 5-7
🙄
Yaani pesa zote zimewekezwa za walipa kodi kupitia mradi wa sasa wa WB alafu wao wanakuja kuendesha na kusimamia? Wanawekeza nini??

Ndiyo maana mkataba haujawekwa thamani ya uwekezaji wao 😄 kumbe wanadandia mradi unaoelekea kukamilika waje wajisifu!

YAANI KIUFUPI WANAKUJA KUTEKELEZA MRADI WA PESA ZA MKOPO WA WORLD BANK

Nyieeeeeeeeee!
Mnaotetea mkataba huu mnajua kuwa mnatumika kutetea ulaji wa genge ndogo!?
Ila #TutaelewanaTu
Weka ushahidi tumechoka na maneno kila mtu anasema lake
 
Mkataba ulishainiwa tangu mwez1 November 2022, kwa nini walikaa nao kwapani na kuuleta bungeni kwa hati ya DHARURA June 2023??? Kwa nini haukuletwa mapema tukaujadili kwa kina - why dharura??
Je Bunge lilikuwa na uwezo wa kuukataa wakati ulishainiwa kwa maelekezo ya Rais? Matokeo yake yangekuwaje??
Hayo ndiyo waliyoogopa wabunge maana rais angeweza kulivunja bunge na kuitisha uchaguzi ambao wote walioukataa CCM isingewarudisha. Angalia uteuzi wa tume ya uchaguzi - wanaopinga huo mkataba watatoboa kwenye uchaguzi!
 
Hayo yote ya nini jambo muhimu ni ufanisi ili serikali iongeze mapato kupitia bandari........na hilo Dp world ndo imekuja kutekeleza basi, hata kama mkataba ni wa miaka 100 as long serikali ina pata faida na inahudumia wananchi wake vizuri na kufanya maendelo hamna shida tuache fitina za kijinga.
Acha ujinga wewe, yaani watoke kwao kote huko ati waje kusaidia serikali yako ipate mapato? Mapato yaongezeke Kwa kiasi Gani na wao watakuwa wamechukuwa ngapi?
 
Back
Top Bottom