Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Yaani aache kuwasikiliza wenye akili, akawasikilize wala rushwa za DP?Badala ya kutafuta makala ya bandari ya Dar na kumsikiliza mkurugenzi wa port.
Yote hayo keshayaongelea issue ni cranes za kisasa ambazo hazitoshi.
Pili wawekezaji wameelezea wanachoenda kuongezea wao hapo bandarini.
Wewe unatoka kwenda kumsikiliza kichaa mmoja Twitter ndio source yako; badala ya kuwasikiliza wahusika tena video wameonyesha ya kilichofanyika bandarini.