Kumbe Tanzania ilikopa fedha World Bank kuendeleza bandari, DP World anakuja kutumia fedha hizo kufanya kazi ambayo Tanzania imeikopea fedha WB-SOMA

Jamani kuna hakika gani mapato yataongezeka hawa jamaa wakapokuja? Sasa hawa jamaa wanawekeza alafu inakuwaje tunagawana faida au tunawalipa kama waajiriwa? Kama kweli wataongeza faida maradufu ya sasa mkataba wetu uweke malengo na yasipofikiwa basi hao ndugu wasilipwe. Hata hivyo huu mkataba mara nasikia ni uwekezaji mara ununuzi mara uendeshaji sasa ni lipi? Kuna mikataba ya aina nyingi duniani inayolenga kuleta ufanisi na kuongeza mapato; kuna management contract, Franchise, share holding, joint venture, Outsourcing, sub contracting, rent option au co Branding. Wataalamu wetu waseme bila kificho mkataba wetu ni wa aina gani? Mimi nashauri kwamba kama shida yetu ni vifaa vya kazi basi tununue hivyo vifaa alafu tuwaajiri hao waarabu wataalamu tuwalipe mshahara, bandari na vitendea kazi vibaki kuwa mali yetu.
Nilishauri kitu hiki hiki Mkataba uwe kwa Target, wakiongeza mapato unaendelea, wakishindwa kufikia target unavunjika.

Mapato wanaendelea kukusanya Tra na wenzake wao wanakua upande wa Bandari, kama umewahi kutoa Container Kuna Gharama za Tra kama Vat na Duty na Kuna Harama za Bandari kama Handling fees, storage etc. Hizo Gharama za Bandari ndo wao wanapata hapo, sijajua ubia wataingia vipi na watagawana vipi.
 
Vifurushi vya sheria si rahisi kutafsiriwa kwa kusoma kama Gazeti, kuna mdau uzi huu huu Muulize, sio field yangu.

Ila Nyie jack of trade mnaojua kutafsiriwa kila kitu endeleeni kusoma mikataba kama Magazeti.
Kumbe hujui kitu? Sasa unatetea nini?
 
Naona hii ni episode ya 3.

Spana ziendelee tafadhali 🙏🙏🙏🙏

Hadi pale akili zitapotukaa sawa na viongozi wajue mamlaka Yao hutoka Kwa wananchi na dharau ziwatoke.
 
Kumbe hujui kitu? Sasa unatetea nini?
Umeniona hata sehemu moja naongelea kifungu cha sheria? Mimi naongelea bandari kwa ujumla, Uendeshaji wake na mambo mengine, sababu Hio ni field yangu nimefanya kazi huko, najua crane ni nini, Forklift, Container handling, ukaguzi, upangaji, usafirishaji na vifananiavyo. Toka Mwanzo uzi huu naongelea mambo hayo, na hata wewe Nimekwambia ulete huo mkataba wa Tpa na Dp world matokeo yake Ghafla ukahamisha Magoli na kuongea ukomo wa Iga kitu ambacho sijakiongelea.
 
Hayo yote ya nini jambo muhimu ni ufanisi ili serikali iongeze mapato kupitia bandari........na hilo Dp world ndo imekuja kutekeleza basi, hata kama mkataba ni wa miaka 100 as long serikali ina pata faida na inahudumia wananchi wake vizuri na kufanya maendelo hamna shida tuache fitina za kijinga.
Hivi wewe uko conscious kweli?
 
Haya,
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Mkataba unakuja Baina Tpa na Dpw, utofauti huo Muulize jamaa hapo juu anaejibu majibu ya kisheria

Kumuita Dpw dalali either ni Ujinga ama kukosa maarifa, unaongelea kampuni ambayo imepewa Bandari za Canada, Uingereza, Ujerumani, Ubelgiji, Uholanzi, China, na Nchi kibao kubwa duniani kama unahisi hawa ni madalali sawa.

Na mwekezaji alikuwepo Ticts ila kwa miaka zaidi ya 20 bado hakuweza kufikia malengo, Analetwa ambaye Ana Track record kubwa.

Na anaweza kuja mwengine ila hakuna mwenye uwezo kushinda Dp world.

Hiki ni kifungu gani?

Hiki umekiona wapi? Tra wataendelea kukusanya Mapato, kwanini unafikiri Dp world watachukua 100% ya Mapato? Hata haimake sense.

Strategic location, Dp world potential yao kubwa ni Transit, unafikiri kwanini Tanzania na sio Madagascar ama Comoro? Sababu Tanzania tumepakana na Congo, Zambia, Burundi, Rwanda, Malawi, Msumbiji, Kenya na Uganda, wote hawa ni potential customers, mizigo yao ipite kwetu, why wakaweze Zanzibar ambao hawana Potential hii?

Ukumbuke Hawa ni wafanyabiashara hawatoi sadaka, inabidi wakajibu investors hivyo wanawekeza maeneo yenye potential.

Hichi nacho umekitoa wapi? Ushaona mkataba wa Tpa na Dp world?

Wawekezaji wote Wanapewa msamaha wa kodi kwa miaka kadhaa ya mwanzo hili halijaanzia kwao, mtu aingize matrilioni ama mamia ya mabilioni halafu hapo hapo unaanza kumpiga makodi haimake sense.
 
Nadhani wewe ni mmoja wapo uliyeasikiliza wapotoshaji na uongo ukakuingia kabisa.

1. Serikali imeeingia makubaliano ya awali na Serikali ya Dubai uendeshaji wa bandari ya Dar es salaam kwenye makubaliano haya yana kipindi cha utekelezaji muda wa miezi 12 imebaki ni miezi minne.
IGA ina ukomo wa miezi 12 tu suala la kutokuwepo kwa ukomo ni upotoshaji.

2. DP World hajapewa haki ya kuendesha bandari zote makubaliano yapo kwenye bandari ya Dar es salaam kilichokuwepo kwenye mkataba ni exclusive right ya kawaida katika any business proposal ukifanya kazi na Pepsi kama ni ya muda mrefu unahitaji kuwa na binding ya kutokufanya kazi na mshindani wa Pepsi au any related company.

3. Ni kawaida kwa mwekezaji kupatiwa kipande cha ardhi kuendeleza shughuli za uwekezaji sasa hayo makontena mkishusha mtayaweka wapi kama hakutakuwa na eneo la kushushia au kuendeleza utanuzi wa kuendesha.

4. Kipengele cha mapato hakipo kwenye IGA kitajadiliwa baada ya kufanyika kwa Host Government Agreement

5. Bandari ya Zanzibar tayari ina muwekezaji

6. Ukisoma sera ya uwekezaji ya Mwaka 2017-18 inaweka wazi kabisa kuhusu international abitration kuwepo kwa fair ground mwekezaji amekuja kuwekeza kesho unaamka kama chizi mnaanza kuvuruga Biashara reffer kuzuia makinikia hili suala lilishusha hisa ya thamani ya Barrick na watu walipata hasara sasa ni lazima kuwepo na fair ground ya kuvunja mkataba na mkataba unavunjika wazi na kwa wepesi.

7. Benefit clause ipo kwenye Concession Agreement huko ndiyo haya mambo ya faida yatajadiliwa hapa umepotosha pakubwa mno.

Uongo huwa unapanda lift ila ukweli huja kwa kupanda ngazi mnapotosha kwa faida ya nani.?
 
Tuanze na moja, huo waliosaini ni mkataba au makubaliano?
 
Tuanze na moja , tofauti ya makubaliano na mkataba ni nini?
 
Kwani mkataba wa Dp world na Tpa tayari? Mbona mnaendekeza Cheap Politics hivi?

Dp world vifaa vyao sio vya kitoto eti waje watumie Existing infrastructure, Hizo Crane na miundombinu mingine capability yake wanayo wao tu ama ni kampuni chache zenye uwezo huo.

Kusema kwamba Dp world wanatutegemea sisi eti mkopo wetu wa World Bank uwawezeshe wao ni chai ya mchana.
Nyie waleteni. Sisi tunataka maendeleo. Ila sasa wataondoka lini!
 
Tanganyika inakopa matumizi yanafanyikia Zanzibar, Wazanzibar mnakula jasho letu, Mungu anawaona. Yaana ela za Tanganyika zinaendeleza Zanzibar, nafas za ajira za Tanganyika wamewekwa wanzaxibar, tumeletewa walimu toopu wa znz,.
 
Hayo yote ya nini jambo muhimu ni ufanisi ili serikali iongeze mapato kupitia bandari........na hilo Dp world ndo imekuja kutekeleza basi, hata kama mkataba ni wa miaka 100 as long serikali ina pata faida na inahudumia wananchi wake vizuri na kufanya maendelo hamna shida tuache fitina za kijinga.
Hakika
 
Mkuu wewe unaona tuna independence au flag independence kukopa ndo tunacho jua, 47% ya bajeti ni misaada, mpaka tutakapo kubali watu wenye mitaji waje wawekeze mega project kama bandari ili tuweze kua economic indipendence, uzalendo wakumiliki mali na hatuwezi kuzitumia kubadili maisha ya wananchi ni ujinga na umesha pita na wakati.
Si uhamie kwao utuache sisi? Watu kama ninyi ndiyo makuwadi wa ukoloni mamboleo...Mnaambiwa acheni mambo ya teuzi waje watu wenye uwezo, kutwa kucha mnag'ang'ania teuzi kisha mkishindwa mnataka sote tuonekane hatuwezi...

Wapo watanzania wenye kuweza, ila ninyi makuwadi ndiyo sababu ya hao kutokuwepo kwenye hizo sehemu...Kwahiyo msitulazimishe utumwa ambao sisi wengine siyo asili yetu.
 
Nakushangaa kutojua kwamba WB inakupa mkopo baada ya kutimiza conditions zake ikiwemo ku akikisha una mwekezaji atakae weza kuendesha na kurudisha huo mkopo, baada ya wenyeji kushindwa usafiri kwamba wb ikui kinachoendelea wakati hiyo conditionality moja ya mkopo........jutahid kujua world economic financial policies za WB neenda akaone kwenye website yao hiyo aina ya mikopo imetolewa kwa nchi ngapi... na terms and condition ni zipi
Laiti ungejua unavyokera, ungeacha kuandika mambo ya aibu kama haya...
 
Tukisema samia na timu yake ni watu wa hovyo mnasema tuna chuki na uislam wake.
 
Hii ni kutoka report ya Worl Bank .................................BY MARIA SARUNGI

Muhimu kuhusu DPW na mradi wa Benki ya Dunia

Pesa za mkopo wa @WorldBankAfrica zimetumika (na kukamilika)
👉🏽 kupanua na kuimarisha Gati 1-7 na kujenga gati mpya Gerezani
👉🏽kupanua mlango wa bandari hadi Gati 11
👉🏽kuboresha na kuunganisha na reli
👉🏽 Kupanua na kuimarisha Gati 8-11
👉🏽Kuna RORO terminal ilijengwa na kukamilishwa

Sasa tuangalie wanachodai DP World kufanya kwa mujibu wa IGA
Cha kwanza kikubwa eti kujenga, kuendesha na kusimamia RoRo terminal na Gati 1-4 na gati 5-7
🙄
Yaani pesa zote zimewekezwa za walipa kodi kupitia mradi wa sasa wa WB alafu wao wanakuja kuendesha na kusimamia? Wanawekeza nini??

Ndiyo maana mkataba haujawekwa thamani ya uwekezaji wao 😄 kumbe wanadandia mradi unaoelekea kukamilika waje wajisifu!

YAANI KIUFUPI WANAKUJA KUTEKELEZA MRADI WA PESA ZA MKOPO WA WORLD BANK

Nyieeeeeeeeee!
Mnaotetea mkataba huu mnajua kuwa mnatumika kutetea ulaji wa genge ndogo!?
Ila #TutaelewanaTu
Huyu Dada Maria ni mpotoshaji tu kama mwingine yoyote.

Lengo lake ni kuipaka matope hii kampuni na hatafanikiwa kwa namna yoyote ile.
 
MTAZAMO nenda kwemye akaunti ya maria tweeter, follow her......amekopi kabosa report ya WB. Nimeshindwa namna ya kuiweka hapa vile vipande alivyokopi.
Mpuuzi tu huyo dada kama mpuuzi mwingine yoyote unayemjua.

Michakato ya kusaini mikataba inaendelea na muda sio mrefu itasainiwa.
 
Back
Top Bottom