Kumbe Tanzania siyo Maarufu kihivyo kama tunavyokaririshana

Wewe nawe toka mwanzo umeng'ang'ania vivutio wapili tu toka mwanzo.
 
Mimi mwenyewe yalishanikuta. tena mara 2.

Muarabu kutoka Palestina alishindwa kuifahamu Tanzania, nilipomtajia East Africa akataja Zanzibar.
 
acha upumbavu na kutokujiamini.kwani wasipoifaham nini kinabadilika?maisha yanasimama au? Watu kama wewe ni hasara kubwa kwa taifa letu..unaonekana una hulka ya kujipendekeza kwa wengine ,,hujiamin kabisa!!
 
Hakuna maisha bila kujipendekeza wewe kwenye kila nyanja pia mtu binafsi na nchi nzima ukiwa na mawazo hayo utofanikiwa kamwe.
 
acha upumbavu na kutokujiamini.kwani wasipoifaham nini kinabadilika?maisha yanasimama au? Watu kama wewe ni hasara kubwa kwa taifa letu..unaonekana una hulka ya kujipendekeza kwa wengine ,,hujiamin kabisa!!
asante kwa mawazo mabovu yaliyojaa hasira na ujuaji ambao hauna ulazima.
hapa inaeleweka ninamaanisha nini mkuu usifumbe ubongo
 
BASI HAO HAWASOMA NA HAWAJUI HATA RAMANI YA DUNIA....AU DHARAU TU
 
Lithuania haujiu huyo
Umechanganya vitu viwili tofauti hata wewe nikikwambia Telasa ipo wapi hujui utashangaa ila tukiendelea na convo utaijua kwa kuongea na ku-google lakini point ya msingi kwamba nilivyokwambia uloshangaa.
Muulize Lativia unaijua!??Moldova je!?? Vipi Malta!?? Hivi ukiwa na smart phone uta Google usichokijua!??Aiseee sisi Watzii tuna poor think ing capacity kuliko maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…