Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja ni kuwa ilikuwaje mashtaka yalifunguliwa jana na hukumu kutolewa jana hiyo hiyo, je ni kawaida kwa mienendo yetu ya kesi?Kama unapinga umauzi wa mahakama nenda kakate rufaa. Acheni mahakama zifanye kazi zake kwa uhuru.
Kwani kesi kisheria inatakiwa ihukumiwe baada ya muda gani?Hoja ni kuwa ilikuwaje mashtaka yalifunguliwa jana na hukumu kutolewa jana hiyo hiyo, je ni kawaida kwa mienendo yetu ya kesi?
Mbwa mwingine huyu hapa!Kwani kesi kisheria inatakiwa ihukumiwe baada ya muda gani?
Kwahiyo huna imani na mahakama?
Mbwa dada yakoMbwa mwingine huyu hapa!
Mbwa koko wewe!Mbwa dada yako
Hayo yote ni majina ya dada yakoMbwa koko wewe!
hati ya dharula unaijuaHoja ni kuwa ilikuwaje mashtaka yalifunguliwa jana na hukumu kutolewa jana hiyo hiyo, je ni kawaida kwa mienendo yetu ya kesi?
Una taarifa ya mashtaka haya kufunguliwa kwa hati ya dharula?hati ya dharula unaijua
Kwani kesi zote zinazoendelea Tanzania unapata taarifa?Una taarifa ya mashtaka haya kufunguliwa kwa hati ya dharula?
Ile siyo hukumu ni zuioHoja ni kuwa ilikuwaje mashtaka yalifunguliwa jana na hukumu kutolewa jana hiyo hiyo, je ni kawaida kwa mienendo yetu ya kesi?
Ile siyo hukumu ni zuio la mudaKwani kesi kisheria inatakiwa ihukumiwe baada ya muda gani?
Kwahiyo huna imani na mahakama?
Kwahiyo zuio siyo hukumu? Ulizaliwa mwaka gani?Ile siyo hukumu ni zuio la muda
Sijui kama una akili timamu wewe, zuio ni wakati kesi ya msingi inaendeleaKwahiyo zuio siyo hukumu? Ulizaliwa mwaka gani?
Kesi ya msingi ni ipi?Sijui kama una akili timamu wewe, zuio ni wakati kesi ya msingi inaendelea