Kumbe tunalishwa matango pori kuhusu mahakama kufuta amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro

Kumbe tunalishwa matango pori kuhusu mahakama kufuta amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro

Kama unapinga umauzi wa mahakama nenda kakate rufaa. Acheni mahakama zifanye kazi zake kwa uhuru.
Amka dogo, siku hizi hakuna wajinga wa hivyo tena. Hizo mahakama za kufanya kwa haraka hivyo hazipo. Hiyo ni calculated move.
 
Hapo umafia ufreemason na ufisadi mtupu. Ukweli kuna njama kunyakua ardhi zetu kwa nguvu toka wageni hasa waasia kwa kushirikiana na wazungu. Huku nchi vigogo wetu wanatumika. Hawa wenzettu hawana uzalendo wanachojali ni kupewa hela. Uwekezaji gani wa baadaye kutufanya kupoteza uhuru wetu na kunyanyaswa na wageni. Tangu uhuru tuliapa bora njaa kuliko kutawaliwa. Nyerere alisema itafika muda kuweza kuyafanya wenyewe yale muhimu. Tukiuza ardhi basi tutakua watumwa milele. Tunachohitaji ni uongozi mzuri.
 
Amka dogo, siku hizi hakuna wajinga wa hivyo tena. Hizo mahakama za kufanya kwa haraka hivyo hazipo. Hiyo ni calculated move.
Nimeuliza tangu awali. Mahakama inatakiwa kushughulikia issue kwa muda gani?
Halafu kuniita dogo ni upumbavu
 
Ole Sopi & others vs Republic

View: https://m.youtube.com/shorts/Y-IiAJBbv44

Ina maana Ole Sopi na wengine dhidi ya serikali. Hivyo hata Ole akikataa kuna wengine 99 wana Ngorongoro wana maslahi na kesi hiyo . Hivyo hata kama Ole Sopi ataikana kesi lakini kuna wengine wana Ngorongoro wapo nyikani wamo ktk kesi hiyo. Ole Sopi labda kahongwa au katishiwa au kaingia uwoga n.k kutokana hali ilivyo Tanzania kwa sasa.

Mfano Kesi zinazohusisha kundi mara nyingi utasikia Republic vs Mbowe & others. Hii kesi ya ugaidi wale makomandoo walikuwa others huku jina la Mbowe likiwa linatajwa kama nukuu au reference....

Freeman Aikael Mbowe and Others vs Republic (Criminal Appeal 76 of 2020) [2021] TZHC 3705 (25 June 2021)

Judgment2021-06-25High Court of Tanzania

Page 36: Mbowe. ... Since there is no evidence that he consulted other
 
Huelewi kitu gani, kwanza aliyetajwa kufungua kesi hata yeye anashangaa kafungua lini, wewe huoni ajabu yeyote?
Upo na uhakika gani kuwa huyo aliyekuwa anaulizwa kwenye simu kuwa ni yeye? Kama umeshindwa kuamini hukumu ya mahakama tutakuamini vipi wewe mtu uliyepo mtaani na unarusha comments JF?
 
Nimeuliza tangu awali. Mahakama inatakiwa kushughulikia issue kwa muda gani?
Halafu kuniita dogo ni upumbavu
Utendaji wa mahakama zetu uko wazi, ukiona zimeact kwa haraka kwenye shauri lolote, ujue kuna hila nyuma yake. Jipe muda utaelewa kwanini nimesema hivyo.
 
Utendaji wa mahakama zetu uko wazi, ukiona zimeact kwa haraka kwenye shauri lolote, ujue kuna hila nyuma yake. Jipe muda utaelewa kwanini nimesema hivyo.
Jibu swali nililokuuliza. Hapa tunaongea mambo ya kisheria usilete porojo za Maria Sarungi hapa.

Kisheria shauri linatakiwa kuchua muda gani kutolewa uamuzi?
 
Hiyo hiyo jana jioni Wamaasai zaidi ya 300 waka jitokeza kwenda msomera na wapi sijui.
Hii nchi inayo ongozwa na Ccm ina vituko sana. Yaani ina ishi ki maigizo mnoo.
Wamesha tuona wote ni maboya
Ni wale wale ambao walishahama kitambo wamerudi ili kuhama upya kuihadaa dunia,CCM wana hadaa za kijinga sana
 
Jibu swali nililokuuliza. Hapa tunaongea mambo ya kisheria usilete porojo za Maria Sarungi hapa.

Kisheria shauri linatakiwa kuchua muda gani kutolewa uamuzi?
Linatakiwa kuchukua robo saa boss.
 
Back
Top Bottom