Kumbe tunalishwa matango pori kuhusu mahakama kufuta amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro

Watu wa leo siyo wa mwaka 47. Msichezee watu akili
Unapiga kelele JF 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Nenda kamwambie Maria Sarungi ajitokeze tumuone kama kweli yeye ni mtetea haki

Tunajua kwao ni Bulgaria Nchi ikiharibika anakimbilia kwa wajimba zake.
 
Haaahaaaa...ndio kazi iliyobaki. Kutishia na kuteka? I think we have more than that. Ukiona nguvu nyingi zinatumika, ujue kitu hicho ni baishara binafsi ya wajanja wachache.
Haina maslahi wala tija na wananchi wa kawaida, wakiwemo wamasai. Tunapoteza nini kufanya mambo kwa haki, utu na taratibu?
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Naona umelegea sasa. Acha mahakama ifanye kazi yake.
 
Hoja ni kuwa ilikuwaje mashtaka yalifunguliwa jana na hukumu kutolewa jana hiyo hiyo, je ni kawaida kwa mienendo yetu ya kesi?
Jana haijatolewa hukumu.

Jana imetolewa amri ya mahakama kusitisha mchakato wa kufuta vijiji, mpaka hukumu itolewe kwanza.

Kesi imepangiwa tarehe ya kutajwa tena.

Lakini kesi yenyewe ni ya mchongo tu, hata mteja anayesemwa kamtuma huyo wakili kufungua kesi anasema hamjui huyo wakili.

Hii ni kesi ya mchongo ya kupangwa na serikali tu.
 
tax.jpg

Kuna vitu vinafikirisha sana!
 
Back
Top Bottom