Kumbe Urusi ililenga silaha za NATO zilizohifadhiwa karibu na makazi ya watu? Nani alaumiwe hapa

Nakama unadhani itaishia leo pole sana MKUU
Tutapiga unapofuka MOSHI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NATO baada kipigo kizito cha silaha zao imewauma wameanza kutoa milio ya aina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Russia anawatwanga na kuwatia hasara kisawasawa
 
πŸ€πŸ»πŸ€πŸ»πŸ€πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ’ͺ🏻πŸ’ͺ🏻πŸ’ͺ🏻πŸ’ͺ🏻 wataelewa tu, western mainstream media wanadanganya mchana peupeee🀣🀣🀣🀣
Wataelewa tuu, Russia si Zimbabwe🀣🀣🀣
 
Hulikosa lishe ya brain development ukiwa mtoto thus why unataka uzione[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…