EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #21
Mbona unapenda kudanganywa, kuna post hapo juu kidogo ipitie.Ulitaka Putin akubali ameua raia waliokuwa shopping??
Jiongeze kiazi kitamu.
NATO walilaani sio kwasababu MALL imelipuliwa bali SILAHA ZAO ZA MGAWO 😅😅😅😅
WE NDIO UJIONGEZE BABU