Kumbe ushamba bado unaendelea…

Hata SAMIA ni mshamba maana Joni aliambiwa ni mshamba kweli yaleyale
 
Naunga mkono hoja. Sioni sababu ya mwananchi wa Katavi kufunga mtaa kwa sherehe kisa eti kanunua bodaboda

Huu ushamba muasisi wake ni jiwe. Alaaniwe huko aliko.
Katavi , mpanda imekufanya Nini mkuuu mpaka uisakame 😔😔😔
 
MAJINGA MAJITU MAZIMA.
 
Nilidhani Bi. Mdashi yeye ni mstaarabu. Nilidhani ye si mshamba .

Hamadi! Kumbe ndivyo sivyo.

Yeye na wenzake nao ni washamba tu. Washamba wa ndege.
Kwanza, sii kila anachofanya ni anapanga yeye, vitu vingine ni anapangiwa!.

Pili mtu kuwa mshamba wa kitu chochote kipya sio dhambi, mimi mwenyewe mara yangu ya kwanza kupanda lift ni Bugando Hospital, nikawa napanda, nashuka, naona raha!.

Kushangalia jambo lolote kubwa kama ndege ni ushamba justified, hata wale wote wanao jiselfisha, kwenye ndege ni washamba wa ndege, kujiselfisha popote kwenye location ni ushamba fulani, ushamba wa kitu kikubwa kama ushamba wa ndege ni ushamba mzuri!.
Naunga mkono ushamba ule!.
P
 
Tulishakuwa na shirika la ndege hapo zamani ambalo lilikuwa na ndege kadhaa.

Sasa nini jipya hapa?
Zile tukapigwa na Kenya? Au baada
Tulikua nazo zingine.
Sioni mantiki ya watu kwenda kushangilia ndege mpya.
Ni uvivu wa fikra na mawazo kutoka ilala,kkoo, buguruni, kinondoni.
Unaenda kupokea ndege ambayo
Hata ufanyeje hutakuja kupewa manufaa yake yoyote
Mpk inakufa,
Sasa kuna haja kupoteza muda
 
Ni washamba mpaka nukta
 
Kweli wewe ni mjinga kwa ujinga huu👇🏻



Subalkheir ni "Asubuhi njema" je hivi sasa ni asubuhi??
Na msaikheri maana yake Nini? Unadhan wote tuko kwenye same time zone?

Haya jipigepige kifua usema hakika Mimi ni mkurupukaji naomba nipuuzwe milele
 
This is way too much.. Unaonesha namna gani Mwafrika habadiliki na kuwa na ajili hata akiishi Ulaya miaka mia moja! Hii inadhihirisha wazi kuwa arguments zako hutawaliwa na chuki na mahaba na wala sio facts.
Membe kaendazake! Ni 1-1
 
All foolery aside, hivi kweli kabisa kuna ulazima gani wa ndege mpya kwenda kupokelewa na rais pamoja na serikali yake uwanja wa ndege?

Kwa nini wanaenda kupokea ndege?

Someone please make it make sense!
 
All foolery aside, hivi kweli kabisa kuna ulazima gani wa ndege mpya kwenda kupokelewa na rais pamoja na serikali yake uwanja wa ndege?

Kwa nini wanaenda kupokea ndege?

Someone please make it make sense!
Hyo ndege bora ingepokelewa na waziri was mawasiliano akiambatana na mkuu was mkoa as well as mkuu was wilaya kumpeleka rais was nchi so jambo zuri.
 
Ushamba utaisha tutakapoingia awamu ya sita; hii ni awamu ya tano inaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…