Kumbe usiku ni mrefu hivi?

Kumbe usiku ni mrefu hivi?

Nimewahi kuugua mara nyingi lakini homa iliyonipata usiku wa jana sijawah kuumwa toka nizaliwe

Usiku wa jana ulikua mkubwa kwangu,ulikua mrefu,niliona masaa yamesimama
Niliteseka sana,nililia

Niliumwa tumbo sijawahi kuumwa maisha,nilisema asubuhi sifiki

NImeenda kwenye vipimo naambiwa UTI kali nayo hivi kumbe UTI ndo inauma hivi ???

Waheshimiwe ma dacktar popote mlipo 🥰🥰🥰

Hata leo nimeweza kushika cm ,kuanzia leo nitaiheshimu UTI
Hio ni GC=GONOcoccus=NEISSERIA GONORRHOEAE. AKA GONO
 
Nimewahi kuugua mara nyingi lakini homa iliyonipata usiku wa jana sijawah kuumwa toka nizaliwe

Usiku wa jana ulikua mkubwa kwangu,ulikua mrefu,niliona masaa yamesimama
Niliteseka sana,nililia

Niliumwa tumbo sijawahi kuumwa maisha,nilisema asubuhi sifiki

NImeenda kwenye vipimo naambiwa UTI kali nayo hivi kumbe UTI ndo inauma hivi ???

Waheshimiwe ma dacktar popote mlipo 🥰🥰🥰

Hata leo nimeweza kushika cm ,kuanzia leo nitaiheshimu UTI
Pole sana.Ni bahati mbaya ugonjwa hauchagui muda.Ni vizuri kuwa na vituliza maumivu wakati wote kama tahadhari.
 
Back
Top Bottom