Tetesi: Kumbe Viongozi Yanga Wanatumika Kupoteza Ari ya Upinzani Dhidi ya CCM?

Mkongwe Mzoefu

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2018
Posts
881
Reaction score
2,569
Kumbe Hatuchezi ni project ya CCM kuitumia Yanga kujaribu kupotezea moto wa majadiliano ya NO REFORMS NO ELECTION?

Kama ni hivyo viongozi wa Yanga wanataka huo ubunge kwa kupitia damu za wana yanga wanaotekwa na kuuwawa au ndugu zao.

Kila mwana Yanga mwenzangu nwenye akili timamu asikubali kutumika, maana sasa limekujq jipya eti na CRDB fainali hatuchezi!
 
Hundred percent true. By the way, no reforms no election
 
Hatuchezi 🐼✔️
Hatuchezi#
Hatupigi kura#
1000005529.jpg
 
Ndivyo ilivyo ndugu mleta mada.

Muhimu ni kila mmoja wetu kutokubali kutoewa kwenye reli.

Msimamo uwe ni;-

No reforms no election.

No reforms no election.

No reforms no election.

No reforms no election.

No reforms no election.

No reforms no election.

No reforms no election.

No reforms no election.

No reforms no election.

No reforms no election.

No reforms no election.
 
Kumbe Hatuchezi ni project ya CCM kuitumia Yanga kujaribu kupotezea moto wa majadiliano ya NO REFORMS NO ELECTION?

Kama ni hivyo viongozi wa Yanga wanataka huo ubunge kwa kupitia damu za wana yanga wanaotekwa na kuuwawa au ndugu zao.

Kila mwana Yanga mwenzangu nwenye akili timamu asikubali kutumika, maana sasa limekujq jipya eti na CRDB fainali hatuchezi!
Acha ujinga basi wewe. Usilete ujinga na ushabiki wa kijinga kwenye mambo mhimu. Kampeni ya yanga inafahamika. Sisi ya kwetu ni no Reforms no Election. Yanga waache na kampeni yao kwani hata yao inatija pia kwa maslahi ya nchi
 
Kwamba watu wasiendelee na maisha yao kisa no Reforms no elections?

Kwahy na ww kipindi hiki huwezi kushika mimba ya mumeo kisa muda wote utakuwa unamuwaza mwanao mtarajiwa na sio kampeni ya chadema?
 
Kumbe Hatuchezi ni project ya CCM kuitumia Yanga kujaribu kupotezea moto wa majadiliano ya NO REFORMS NO ELECTION?

Kama ni hivyo viongozi wa Yanga wanataka huo ubunge kwa kupitia damu za wana yanga wanaotekwa na kuuwawa au ndugu zao.

Kila mwana Yanga mwenzangu nwenye akili timamu asikubali kutumika, maana sasa limekujq jipya eti na CRDB fainali hatuchezi!
Nchi nzima imegeuzwa kuwa sehemu ya jukwaa la sanaaa!
 
Kumbe Hatuchezi ni project ya CCM kuitumia Yanga kujaribu kupotezea moto wa majadiliano ya NO REFORMS NO ELECTION?

Kama ni hivyo viongozi wa Yanga wanataka huo ubunge kwa kupitia damu za wana yanga wanaotekwa na kuuwawa au ndugu zao.

Kila mwana Yanga mwenzangu nwenye akili timamu asikubali kutumika, maana sasa limekujq jipya eti na CRDB fainali hatuchezi!
Vijana msifanye makosa mwezi wa 10. Achaneni na movement za mabeberu.
 
Kumbe Hatuchezi ni project ya CCM kuitumia Yanga kujaribu kupotezea moto wa majadiliano ya NO REFORMS NO ELECTION?

Kama ni hivyo viongozi wa Yanga wanataka huo ubunge kwa kupitia damu za wana yanga wanaotekwa na kuuwawa au ndugu zao.

Kila mwana Yanga mwenzangu nwenye akili timamu asikubali kutumika, maana sasa limekujq jipya eti na CRDB fainali hatuchezi!
Ofcourse kuna kila dalili ya injinia hersi kuutaka ubunge
 
Kumbe Hatuchezi ni project ya CCM kuitumia Yanga kujaribu kupotezea moto wa majadiliano ya NO REFORMS NO ELECTION?

Kama ni hivyo viongozi wa Yanga wanataka huo ubunge kwa kupitia damu za wana yanga wanaotekwa na kuuwawa au ndugu zao.

Kila mwana Yanga mwenzangu nwenye akili timamu asikubali kutumika, maana sasa limekujq jipya eti na CRDB fainali hatuchezi!
Yanga ni sehemu ya watawala tangu enzi za TANU mkuu.

Hili unalijua leo?

Hukusikia Nyerere alivyoacha ushauri wa wasomi washauri wake wa uchumi akafuata ushauri wa Mzee Tabu Mangala, Mwenyekiti wa Yanga?

Hujui Francis Mponjoli Kifukwe Rais wa Yanga alikuwa mtu wa kitengo?
 
Kumbe Hatuchezi ni project ya CCM kuitumia Yanga kujaribu kupotezea moto wa majadiliano ya NO REFORMS NO ELECTION?

Kama ni hivyo viongozi wa Yanga wanataka huo ubunge kwa kupitia damu za wana yanga wanaotekwa na kuuwawa au ndugu zao.

Kila mwana Yanga mwenzangu nwenye akili timamu asikubali kutumika, maana sasa limekujq jipya eti na CRDB fainali hatuchezi!
Ulikua hujui
NO REFORMS NO ELECTION
 
No Reforms No Elections ✔️
Hatuchezi✔️
 
Back
Top Bottom