Sote tunajua chanzo ni nini hadi kufikia hapa leo Yanga anapogoma kucheza, nakushangaa wewe unayetaka kutubadilisha mawazo kana kwamba jambo limeanzishwa na Yanga.Kumbe Hatuchezi ni project ya CCM kuitumia Yanga kujaribu kupotezea moto wa majadiliano ya NO REFORMS NO ELECTION?
Kama ni hivyo viongozi wa Yanga wanataka huo ubunge kwa kupitia damu za wana yanga wanaotekwa na kuuwawa au ndugu zao.
Kila mwana Yanga mwenzangu nwenye akili timamu asikubali kutumika, maana sasa limekujq jipya eti na CRDB fainali hatuchezi!
Sio kweli Yanga anachagiza No Reform No ElectionKumbe Hatuchezi ni project ya CCM kuitumia Yanga kujaribu kupotezea moto wa majadiliano ya NO REFORMS NO ELECTION?
Kama ni hivyo viongozi wa Yanga wanataka huo ubunge kwa kupitia damu za wana yanga wanaotekwa na kuuwawa au ndugu zao.
Kila mwana Yanga mwenzangu nwenye akili timamu asikubali kutumika, maana sasa limekujq jipya eti na CRDB fainali hatuchezi!
Kifukwe alikuwa usarama????Yanga ni sehemu ya watawala tangu enzi za TANU mkuu.
Hili unalijua leo?
Hukusikia Nyerere alivyoacha ushauri wa wasomi washauri wake wa uchumi akafuata ushauri wa Mzee Tabu Mangala, Mwenyekiti wa Yanga?
Hujui Francis Mponjoli Kifukwe Rais wa Yanga alikuwa mtu wa kitengo?