Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
Aiseekama isingekua yule jambazi februari kuiba mabilioni na kwenda nazo kwao bombo siku nyingi lingezinduliwa
Usione aibu kupongeza jambo zuri . Acha porojo za wakoloni wewe pongeza tu hata kama uliusagia kunguni.Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
Wakoloni wangeondoka Tanganyika 2000 leo tungekuwa na vini vya umeme wa nyuklia.Usione aibu kupongeza jambo zuri . Acha porojo za wakoloni wewe pongeza tu hata kama uliusagia kunguni.
Hili Taifa tunawatu wengi sana wasio litakia mema. Tusijidanganye uzalendo ni kila kitu katika nchi. Huwa tunajidanganya kwenye Tv lakini ukienda hata nchi zilizoendelea lazima uwe na uzalendo kwa nchi ndipo uweze kupewa uongozi.
Ingekuwa rahisi kujenga hili bwawa kila nchi ingekuwa nalo.
Chelewa ufike, cha msingi tumefika na tunapongeza ila sasa imebaki kuona italeta mabadiliko gani yenye ahueni kwenye gharama za umemeWakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
Usishangae sisi hupenda shughuri za ngoma mwezi mzima.Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
Na bei juu.a) Miradi ni mingi
1. Hale 1964
2. Nyumba ya Mungu 1965
3. Kidatu 1970
4. Mtera 1979
5. Kihansi 2000
6. Rusumo 2025
7. JNHPP 2026
8. Maragarasi unaendelea kutekelezwa.
b) Bado tuna miradi ya umeme wa jua
1. Kishapu I
2. Kishapu II unaendelea kutekelezwa.
c) Tuna umeme kutoka chanzo cha Songas kusini. Na vyanzo vingine vingi...