Kumbe Wakoloni walishajenga mabwawa ya umeme kama hili la Nyerere kwa kitambo sana!

Kumbe Wakoloni walishajenga mabwawa ya umeme kama hili la Nyerere kwa kitambo sana!

Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
Mambo mengi tu tumechelewa ambayo nchi zilizotawaliwa zimefanikiwa kuyawahi. Mfano, SGR ilitakiwa iwe imejengwa kitambo tu, mabarabara ya lami kibao nk! Ni kweli, nchi za Asia mfano Korea Kusini zilikuwa sawa kimaendeleo na nchi za Kiafrika mfano Tanzania mpaka miaka 1960 lakini wenzetu wametupita. Huwa nangalia video za home industries huko Bangladesh, wale jamaa wametupita mbali sana kwa sababu sisi tunaagiza bidhaa kutoka China karibu kila kitu
 
Kuna cha ajabu?
 
Tatizo ni kuendekeza siasa
 
communists walidanganya sana waafrika, kama tusingewasikiliza communists leo hii tungekuwa mbali sana. maputo ilikuwa inaitwa rio of afrika kabla ya communist kuchukuwa na kuharibu kila kitu, lobito angola was riviela kabla ya vita ya communists iliyoharibu angola kabisa.

kwanza karibia kila ktu tunachokifanya leo plan iliwekwa na wazungu, hata bwawa la Nyerere plan ya kulijenga ilikuwepo tangia enzi za wajerumani, cha ajabu communist walikuja wakabomoa trajectory iliyokuwepo miaka 60 imepita ndiyo tunataka kurudia kule kule ambako tulikukataa miaka 60 iliyopita wakati dunia imesha move on ...
Ni CCM na Nyerere na azimio lao la Arusha, walikimbiza capital na intelligence yote ambayo ingejenga nchi
 
Ni CCM na Nyerere na azimio lao la Arusha, walikimbiza capital na intelligence yote ambayo ingejenga nchi

siyo yeye tu (Nyerere) ni post colonial afrika yote kuanzia north afrika mpaka southern afrika ukiondoa south afrika wote waliende the opposite direction i.e walidanganywa na kutumiwa na communists wakabomoa capitalistic economic system iliyokuwepo na kuleta communism iliyoua afrika na kuifanya afrika kuwa the poorest continent in the world, kumbuka kabla ya uhuru afrika was not the poorest continent in the world, asia was poorer than afrika lkn leo hii communists wamebomoa afrika na kuwa the poorest continent na hawajamaliza bado kudanganya waafrika ...
 
siyo yeye tu (Nyerere) ni post colonial afrika yote kuanzia north afrika mpaka southern afrika ukiondoa south afrika wote waliende the opposite direction i.e walidanganywa na kutumiwa ana communists wakabomoa capitalistic economic system iliyokuwepo na kuleta communism iliyoua afrika na kuifanya afrika kuwa the poorest continent in the world, kumbuka kabla ya uhuru afrika was not the poorest continent in the world, asia was poorer than afrika lkn leo hii communinsts wamebomoa afrika na kuwa the poorest continent na hawajamaliza bado kudanganya waafrika ...
Very true, sasa what are we going to do now kupata maendeleo kama wenzetu wazungu na Asians,maana kwa kweli kwa wenzetu kukosa chakula,maji,umeme au barabara ni kama story za kale
 
Nina swali kwa anayejua, kwa bongo mtu mwenye nyumba familia, anatumia umeme kwa matumizi taa, fridge, air conditioner, kupika kwa umeme etc something like upper middle class, wanatumia umeme kiasi gani kwa mwezi (in kWh)
 
Very true, sasa what are we going to do now kupata maendeleo kama wenzetu wazungu na Asians,maana kwa kweli kwa wenzetu kukosa chakula,maji,umeme au barabara ni kama story za kale

ni ngumu kwa maana hata hatujatambua bado kwa nini sisi tuko backwards, mpaka miaka 1970 afrika was richer than most of asia, asia walianza kutupita miaka ya 70 na sababu sisi tulienda communist tulianzisha vita against capitalistic economic system ambayo tayari ilikuwepo na tuliirithi asia walijifunza ktk kwa wazungu hiyo ndiyo ilikuwa tofauti.

sasa leo hii ndio tunahangaika kuanza kurudisha mfumo ambao tuliukataa miaka 70 iliyopita, hapo ni pagumu na hatujajifunza chochote angalia tu muda tunaopoteza kwenye ujinga kwa mfano ghana wanahangaika kutaka walipwe fidia ya utumwa badala ya kuwekeza kwenye elimu science, math and engineering wako busy na mambo ya utumwa sasa tutatoka vipi? ...
 
Nyerere kipindi cha uongozi wake ndio alijenga miundo mbinu mingi ya umeme ikiwemo bwawa la Mteta, Nyumba ya Mungu pia angeweza kujenga huu mradi lakini hakujenga sababu umeme ambao ungezalishwa ungezidi mahitaji ambayo yalikuwepo..
Tulikuwa na wakoloni wajerumani na Uingereza kwanini hawakujenga miradi kama hiyo unayosema.
 
Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
OK. Hivi unadhani hao Wakoloni walilijenga bwawa hilo kama zawadi au hisani au walikuwa na Agenda yenye maslahi kwao? Je, gharama za ujenzi zilitoka wapi? Halafu kwani kulikuwa na mashindano eti nani atakayekuwa wa kwanza au kuwahi kujenga bwawa kubwa la umeme?
Hili letu limejengwa kwa gharama zetu (hata kama tulikopa) lakini si zitalipwa na sio hisani au zawadi. Limejengwa kwa muda mwafaka - Tuna haki ya kusherehekea.
 
colonialists walikuwa na long term vision.
Zamani sana wao wanayo na ambayo hamna maji kuna mapangaboi "Wind turbine" makubwa sana hewani yanazunguka na umeme upo vijijini kote
1787426205314.jpeg
 
Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
Basi hayo yamejangwa na wakoloni, hili ni lakwetu tumejenga tukiwa nchi huru.Wengi hamkupenda hili bwawa lijengwe lakini limejengwa na fitna zilikuwa nyingi kama huyu hapa anayeongea kwa mbwembwe na kupigiwa makofi ndani ya Bunge lakini hayati Magufuli alikuwa anawacheki tu.Hata baadhi ya vyombo vingine maarufu huko nje walikuwa wanapinga na hata wakipata sapoti ya wanasiasa wetu wa ndani na sijui walipewa nini. Kisa eti uharibifu wa mazingira.
Huyo mkoloni alijenga huko kwa sababu alikuwa na uwezo kutokana na nguvu za waliowanyonya na aliamini kamwe hawezi kuondoka.
Lakini haya sasa tumeshayazoea,hata wakati wa kuanza EACOP nakumbuka kulikuwa na maandamano huko nje sababu kubwa eti uharibifu wa mazingira, tuliwadharau na sasa mradi unaisha. Na msije mkadhani hawa wanaopinga hii miradi kwa sababu ya uharibifu wa mazingira wanatupenda saana na kutujali . Ni washenzi tuu wao vibaraka wao.
 
Attachments

  • WhatsApp Video 2026-08-22 at 15.00.48.mp4
    18.5 MB
siyo yeye tu (Nyerere) ni post colonial afrika yote kuanzia north afrika mpaka southern afrika ukiondoa south afrika wote waliende the opposite direction i.e walidanganywa na kutumiwa na communists wakabomoa capitalistic economic system iliyokuwepo na kuleta communism iliyoua afrika na kuifanya afrika kuwa the poorest continent in the world, kumbuka kabla ya uhuru afrika was not the poorest continent in the world, asia was poorer than afrika lkn leo hii communists wamebomoa afrika na kuwa the poorest continent na hawajamaliza bado kudanganya waafrika ...
Inauma sana Afrika kuwa hivi tulivyo, tunaishi kama wanyama ingawa wapo wachache ndiyo wanakula maisha mazuri!
 
a) Miradi ni mingi
1. Hale 1964
2. Nyumba ya Mungu 1965
3. Kidatu 1970
4. Mtera 1979
5. Kihansi 2000
6. Rusumo 2025
7. JNHPP 2026
8. Maragarasi unaendelea kutekelezwa.

b) Bado tuna miradi ya umeme wa jua
1. Kishapu I
2. Kishapu II unaendelea kutekelezwa.

c) Tuna umeme kutoka chanzo cha Songas kusini. Na vyanzo vingine vingi...

Hii JNHPP mbona hakuna miundo mbinu ya kusambaza umeme kutoka kwenye bwawa? Au sijajua bado yanayoendelea?
 
MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....
 
Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
Kwa hiyo unasemaje, leo ndiyo umegundua hilo?
Kwani nasi hawakutujengea Nyumba ya Mungu?
Mtera alijenga nani.

Lakini nje ya yote haya; kwa nini usihoji Mabwawa yaliyojengwa hapa Tanzania kwa mamilioni sasa, mengine ndiyo haya yanayotusababishia mafuriko ya damu za waTanzania. Au wewe huyaoni haya mabwawa aliyoyajenga Mwalimu Nyerere kwa matumaini makubwa kwamba yataleta neema badala ya misiba tunayoipata kila sehemu nchini!
 
MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....
You must be nuts!
 
tunaenda nayo sasa miaka 60 imepita ndiyo tunataka kurudia kule kule ambako tulikukataa miaka 60 iliyopita wakati dunia imesha move on ...
Leo ninakusikitikia sana kama unafikiri Samia anakupeleka huko akili yako inakolalia!

Kama huku siyo kuchanganyikiwa akili, sijui tukuite vipi?

Naona hata 'Yoda' kafurahia mawazo yako haya, kwa kuchangia tu hilo la ukomunisti.

Hebu tupe mfano unaokukoga roho katika hayo mafanikio mahali ambapo ukomunisti haukuwafikia.

Kinachosikitisha zaidi ni kuona bado kuna watu wameganda kwenye fikra za enzi za Vita Baridi, wakati dunia ilishasogea mbali kabisa na kasumba za aina hiyo!
 
Back
Top Bottom