Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Usisahau kuwa huu mradi wakoloni haohao unaowasifu waliupinga sana
Baadhi ya nchi na mashirika ya Ulaya yalipinga au kuonyesha wasiwasi kuhusu Bwawa la Mwalimu Nyerere hasa kwa sababu za mazingira na uhifadhi wa wanyamapori
Mchonga alikuwa na maono tangu 1975, dikteta akawa na uthubutu akaweza kutekeleza