Kumbe Wakoloni walishajenga mabwawa ya umeme kama hili la Nyerere kwa kitambo sana!

Kumbe Wakoloni walishajenga mabwawa ya umeme kama hili la Nyerere kwa kitambo sana!

Mitambo ya power plants za thermal ambayo inakuwa subjected to high temperatures karibu kila wakati, inataka kuwa maintained and in some cases replaced from time to time.

Relatively cost zake za operations sio sawa na za hydro power plants.

KAma mvua na maji sio changamoto.
Kwa nini unadhani mitambo ya geothermal iwe affected na high temperature na ya hidro isiwe affected na water.
 
Back
Top Bottom