Kumbe Wakoloni walishajenga mabwawa ya umeme kama hili la Nyerere kwa kitambo sana!

Kumbe Wakoloni walishajenga mabwawa ya umeme kama hili la Nyerere kwa kitambo sana!

Kwa gharama kubwa iliyopo ni bora hata Wazambia na Zimbabwe wao wana gharama nafuu umeme wa maji ni gharama nafuu kwa upatikanaji wake ila Tanzania tunauziana bei juu hata sielewi shida nini?
 
Miradi mingi lakini maendeleo ya watu ni zero.hatuoni kabisa umuhimu wa hizo miradi why.
Gharama zipo juu sana watu wananunua umeme wa kwao kuna VAT hizo nchi zingine hakuna makato makato kama huku sijui Ewura 1% ya nini?
 
Mimi ningekuwa rais ningewapa umeme wa nuclear, jua na gesi miaka 20 iliyopita. Nisingeruhusu Selous kuguswa kabisa na shughuli za uharibifu wa mazingira kama hizo.

Hata hivyo watawala wako hawakushindwa kujenga miaka yote hiyo eti kwa sababu mradi ulipingwa na wakoloni bali kwa sababu hawakuwa na pesa na pia maadili ya mafuta walivyokuwa wanafanya TANESCO. Kama ingekuwa ni wakoloni wanawaamulia mambo CCM leo hii tungekuwa na demokrasia inayopambaniwa na hao wakoloni.
Vipi kama ungekuwa Rais mwaka 2015
Kwa hali ambayo umeikuta Tz, shida za umeme na wewe ndio Rais sasa kuanzia 2015 hadi the next 5 years ungefanya nini kuongeza uzalishaji wa umeme
 
Vipi kama ungekuwa Rais mwaka 2015
Kwa hali ambayo umeikuta Tz, shida za umeme na wewe ndio Rais sasa kuanzia 2015 hadi the next 5 years ungefanya nini kuongeza uzalishaji wa umeme
Ningeirudisha mikononi mwetu gesi tuliyoambiwa na jiwe sio ya kwetu tena ili tuzalishe megawatts 10,000 za umeme huku tukizalisha maelfu ya ajira nzuri za kudumu na kufungua uchumi wa mikoa ya Kusini iwe kama Qatar na Dubai.
Screenshot_20260823-074450~2.jpg
 
najiuliza kwanini walitaka kununua umeme Ethiopia? Jana walikuwa wanasifia mradi utaondoa changamoto zote za upungufu wa umeme. Hapa kuna uongo mwingi bado ile ya kushusha gharama za umeme
 
Ningeirudisha mikononi mwetu gesi tuliyoambiwa na jiwe sio ya kwetu tena ili tuzalishe megawatts 10,000 za umeme huku tukizalisha maelfu ya ajira nzuri za kudumu na kufungua uchumi wa mikoa ya Kusini iwe kama Qatar na Dubai.
View attachment 3655429
This would cost over $10 Billions to build the plant and over $5 Billions annually for maintenance. Kitu ambacho ni kigumu kwa Tanzania ya 2015 kufikiria kukifanya
Cost ya dam ya Mwl Nyerere ni just $2.9 Billions na 2115MW ni just enough electricity for Tanzania kwa sababu kuna vyanzo vingine vya umeme so total itakuwa 4646MW nchini, wakati demand yetu sisi ni around 2000MW
So it was a wise decision kujenga Mwalimu Nyerere Dam kwa kuangalia cost, mahitaji na hali ya uchumi wa Tanzania
 
najiuliza kwanini walitaka kununua umeme Ethiopia? Jana walikuwa wanasifia mradi utaondoa changamoto zote za upungufu wa umeme. Hapa kuna uongo mwingi bado ile ya kushusha gharama za umeme
Kutaka kununua umeme Ethiopia inaweza kuwa kwa ajili ya manufaa ya watu wachache kwenye system. Huenda wameona kuna namna rahisi ya kuiba hela wakianza kufanya hivyo maana CCM na ufisadi ni kama pete na kidole
Ila kuhusu umeme unaozalishwa Tz kutosha baada ya bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika ni sahihi. Tena ilipaswa umeme usambazwe na ushuke bei ila for some reasons sidhani kama CCM watafanya hivyo
 
This would cost over $10 Billions to build the plant and over $5 Billions annually for maintenance. Kitu ambacho ni kigumu kwa Tanzania ya 2015 kufikiria kukifanya
Cost ya dam ya Mwl Nyerere ni just $2.9 Billions na 2115MW ni just enough electricity for Tanzania kwa sababu kuna vyanzo vingine vya umeme so total itakuwa 4646MW nchini, wakati demand yetu sisi ni around 2000MW
So it was a wise decision kujenga Mwalimu Nyerere Dam kwa kuangalia cost, mahitaji na hali ya uchumi wa Tanzania
Baada ya miaka mitano huu umeme utakuwa hautoshi tena,
Tutafanyaje ??

Hiyo gesi kwa watu serious kila miaka miwili wangeweza kuwa wanaongeza megawatts 1,000.
 
Wakoloni wangebaki wangeijenga nchi vizuri sawa ila kwa ajili ya watu wao tu. Sisi on the other hand tungekuwa na maisha magumu kama wasouth Africa

siyo kweli hizo ni communist propaganda mlizolishwa miaka yote isitoshe kama south afrika maisha ni magumu kwa nini waafrika wote wanakimbilia huko? nitakupa mfano wafanyakazi kwenye mashamba hapa hapa tanzagiza miaka ya 1900 wakati wa wazungu huko alikuwa wanalipwa ujira wa kati ya rupia 15 mpaka 20 /mwezi ambayo ni sawa na kama shilingi laki 3 ( shilingi 300 000) leo hii, sasa kaulize wakulima kwa mfano kwenye mashamba ya katani mo anawalipa shilingi ngapi kwa mwezi wengi wanaondoka na laki 1/mwezi, unajua ni kwa nini tanga korogwe handeni kuna wahamiaji wengi kutokea mikoa mingine ambao wako huko kwa vizazi sasa? ni kwamba walikuja kufanya kazi kwenye mashamba ya wakati wa wazungu, zamani watanzagiza wengi walikuwa wanahama ktk kwao kwenda mikoa mingine kutafuta kazi za mshahara leo zunguka miaka kama morogoro au tanga utakuta wahamiaji wengi wenye asili ya mikoa mingine waliokuja kufanya kazi leo hii 100 years later wanahama kuja kuendesha boda boda.

hivyo kusema wazungu wangebakia maisha yangekuwa magumu ni propaganda mliolishwa na communists, plus hiyo siyo ishu, ishu ni kwamba kulikuwa na haja gani kubomoa walichojenga? shida iko hapo communists wa afrika walibomoa mfumo mzima wa kichumi uliokuwepo kabla ya uhuru na ndipo shida ya afrika ilipoanzia leo waafrika wote wanakimbilia south afrika mpaka wanafurumushwa kwa nini kama maisha south afrika ni magumu klk tanzagia au nigeria kama unavyodai? ...
 
Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
Tennessee Valley Authority walijenga mradi mkubwa sana wa Umeme miaka ya giza.
 
Tuache kusingizia watu wengine.Let us take full respondibility of our actions.Hao communists walikua wametushika akili??Sisi akili zetu zilikua wapi??Mbona China wao wapo na hizo siasa, tangu kipindi hicho lkn wamepiga hatua.
Haya vita vya kijinga tulivyoendekeza vyote ni shida ya communists??Uganda hapo, Kenya hawakua wajamaa wale wanatofauti na sisi??
Waafrika ni kama hatuna akili, hatuwezi jiongoza.
South Afrika baada ya weusi kushika madaraka, unaona kilichotokea??Hapo napo tuwalaumu comnunists.??Congo mpaka leo hawaelewani vizuri, madini yapo, ardhi ipo lkn maskini, Mobutu alikua ni communist na wenzake baada yake??Sudan wanatwangana mpaka leo, kuna communists huko.??
Haya Tz CCM wanavyoziba maskio na kuendekeza ubabe, kujimilikisha nchi, kukataa kuleta katiba bora,huku kukiendelea na mianya ya rushwa, ubinafsi, wizi, matumizi mabovu ya pesa, kutokuwepo kwa uwajibikaji- tukiendelea kuwa maskini, baada ya miaka 50 ijayo ambayo kwa siasa hizi za ccm, bado tutakua nyuma..NAPO TUTASEMA COMMUNISTS????Sisi watu weusi, TU WABINAFSI, hii dhambi itaendelea kututafuna mpaka milele, na tutaendelea kuwa wamwisho - just watch wanachokifanya CCM - eanatuamimisha tunaendelea na makofi kila siku, baada ya miaka 30 kutoka sasa, nchi za wenzetu zitakua mbali zaidi, then tutaanza kulaumu watu wengine.

ndiyo!
communists walishika waafrika na bado wameshika waafrika akili na siyo afrika tu hata eastern europe yote mpaka russia, south amerika pia walishikwa na communists lkn eastern europe wameshajikomboa/kombolewa, leo hii eastern europe is Christian again and prosperous, south amerika pia wanakata kamba na mnyororo wa utumwa chile is prosperous baada ya kukata kamba, hata venezuela itabadilika, kolombia uchaguzi uliopita wamekataa communists kwanza south america communists wamebakia kuba na nikaragua tu btw communists wa nikaragua raisi ortega kamteua mke wake kuwa makamu wa raisi ....
 
siyo kweli isitoshe kama south afrika maisha ni magumu kwa nini waafrika wote wanakimbilia huko? nitakupa mfano wafanyakazi kwenye mashamba miaka ya 1900 huko alikuwa analipwa kati ya rupia 15 mpaka 20 /mwezi leo hii sawa na shilingi laki 3 (300 000) leo hii hkaulize wakulima wa katani kwa mfno mo anawalipa shilingi ngapi kwa mwzi wengi wanaondoka na laki 1, unajua ni kwa nini tanga korgwe ghandeni kuna wahamiaji wengi kutokea mikoa mingine walikuja kufanya kazi kwenye mashamba ya wakati wa wazungu.

hivyo kusema wazungu wangbakia maisha yangekuwa magumu ni propaganda mliolishwa na communists, waafrika wote wanakimbilia south afrika leo hii mpaka wanafurumushwa kwa nini kama maisha south afrika ni magumu klk tanzagia au nigeria? ...
Unafananisha immigrants na local South Africans?
South Africa ina opportunities nyingi ila maisha ya wasouth Africa ni magumu. I don't know how to explain this ila immigrants wana chance kubwa ya kufanikiwa kwenye nchi za watu zenye opportunities kuliko locals because of ambition
Ni kama Wachina walivyojazana hapa Tz na wanaendelea kuja kwa wingi na wanafanikiwa kuliko wazawa. Utaanza kusema Tanzania ina maisha mazuri kwa sababu wachina wanajazana huku?

View: https://youtu.be/Zc1a6V7rs8M?si=LHZh8dVi1rTeiFj2
.
.
Pili Africa ina sababu nyingine kabisa za kuwa masikini na sio communism kama the way unavyodie hard kulazimisha kuwa ndio sababu. Kama shida ni communism basi Kenya na Uganda zingekuwa kama Japan leo hii, na China ingekuwa masikini
 
Baada ya miaka mitano huu umeme utakuwa hautoshi tena,
Tutafanyaje ??

Hiyo gesi kwa watu serious kila miaka miwili wangeweza kuwa wanaongeza megawatts 1,000.
Sema kwa kuwa tulikuwa tunataka kuwa industrialized nation, napata point yako sasa kuwa tungejenga pant kubwa zaidi ya umeme. All in all sijui kama hilo litatokea soon maana nchi yetu ndio imeshikiliwa na viongozi kama Samia, sijui kama 2030 tutapata better person ila akiwa walewale level ya akina Samia hakuna cha maana kitakachoendelea
 
Wakoloni wangebaki wangeijenga nchi vizuri sawa ila kwa ajili ya watu wao tu. Sisi on the other hand tungekuwa na maisha magumu kama wasouth Africa
Basi tungepigania kuwa na haki na usawa tu na watu weupe badala ya kuwaondoa kabisa na sisi kuchukua usukani wakati tulikuwa hatuwezi. South Africa leo hii ndio nchi pekee yenye kinu pekee cha nuclear barani Africa kinachozalisha umeme mkubwa karibia sawa na hili bwawa na kimejengwa na makaburu.
 
Unafananisha immigrants na local South Africans?
South Africa ina opportunities nyingi ila maisha ya wasouth Africa ni magumu. I don't know how to explain this ila immigrants wana chance kubwa ya kufanikiwa kwenye nchi za watu zenye opportunities kuliko locals because of ambition
Ni kama Wachina walivyojazana hapa Tz na wanaendelea kuja kwa wingi na wanafanikiwa kuliko wazawa. Utaanza kusema Tanzania ina maisha mazuri kwa sababu wachina wanajazana huku?

View: https://youtu.be/Zc1a6V7rs8M?si=LHZh8dVi1rTeiFj2
.
.
Pili Africa ina sababu nyingine kabisa za kuwa masikini na sio communism kama the way unavyodie hard kulazimisha kuwa ndio sababu. Kama shida ni communism basi Kenya na Uganda zingekuwa kama Japan leo hii, na China ingekuwa masikini

lkn haujaelezea bado, kama south afrika maisha ni magumu kwa waafrika (klk kwao walikotoka ) how is it that wote bado wanakimbilia huko? kwa nini wanigeria hawakimbilii tanzagiza au kenya labda? iweje mnigeria au ghana asafiri thousand of kms kwenda south afrika kama maisha ni magumu kwa waafrika? kwa nini wasiende guinea, gambia, moroko, algeria, egypt, sudani, mali au hata ethiopia? kwa nini south afrika ambako ni mbali sana tu? ...
 
Ndio maana nakuambia huwezi kufananisha immigrants na local people

Kwanza South Africa wazungu wameijenga sana na uchumi wa South Africa ni very diverse kuanzia kwenye mining, manufacturing, banking, retail, logistics, tourism, technology nk na ndio kinavuta immigrants kukimbilia Afrika Kusini.
Mtu anaweza kuzaliwa Nigeria au Kenya, akaishi mazingira nafuu, akapata elimu, akawa skilled au tu akawa na ambition lakini nchi yake haina diverse economy kama South Africa so anaona ni heri aende South Africa, na pia kuna kitu immigrants wanacho; pressure ya "I have to make it", so wakienda South wanakuta hizi opportunities inakuwa easy ku pursue

Sasa ongelea majority of local South Africans. Hawa ni complete different people from immigrants. Hili ni kundi la watu ambalo limeishi enzi za apartheid ambako watu weusi walitengewa maeneo duni ya kuishi mbali na miji iliyojengeka vizuri, hata leo hii unaona Apartheid effect in South Africa unakuta mji umeendelea kama Cape Town af nje kidogo kuna township masikini za watu weusi. Na South Africans hawakuchagua kuishi kwenye mazingira duni ila system iliwalazimisha wake huko. Ni vigumu sana mtu aliyekulia mazingira yenye shule dhaifu, unemployment kubwa, transport expensive, industries chache, crime nyingi, poor networks, family yenye poverty akafanana na immigrant kutoka Kenya au Tz. Never hao sio watu sawa na it's so unlikely that people in black communities of South Africa waka pursue opportunities the same kama immigrants hata kama opportunities zipo hapohapo South Africa

So point yangu ni kuwa kama wakoloni wangebaki Tanzania, uchumi ungekuwa mkubwa yeah, lakini sisi ndio tungekuwa kama Black South Africans leo kutokana na many factors. On the other hands, immigrants kutoka nje ya Tz wangekuja Tz kufuata uchumi mkubwa na opportunities ila watz wangekuwa wanahangaika na basic things kwanza hata before kuenjoy hizo opportunities.

Immigrants hawatokei kwenye community zilizoishi kwenye system ya apartheid, ni different people from local South Africans.
 
Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
Ni kweli ma dhumuni ya kujenga mabwawa hayo yote ilikuwa kupeleka umeme south Africa kwenye migodi mbalimbali na ndio ipo hivyo hadi wanasupply umeme uko.
 
Back
Top Bottom