Yes! Watanzania washamba walio wengi hawajui hili.!Wahindi hawahesabiki kama “ngozi nyeupe”.
Wale ni wachawi mbona kawaida.
Ndio mko wajinga sana kwakwelikwa akili hizi, mwafrika ni mjinga, na anaendelea kua mjinga
Bado hujafanya kazi na engineering companies za Italy 🇮🇹 😍 kule kwenye mji wa wanaume watupu. Huwa kondoo mweusi tiiiiiii huzikwa mzima mzima akiwa amesindikizwa ma majogooo meusi tiiiiii na huswaliwa dua ambayo huambatana na matambiko ya kucheza uchiHapa mahali ninapofanyia kazi kwenye kampuni kuna ujenzi mkubwa unaendelea wanasimika mitungi mikubwa ile ya ardhini...
Kucheza uchi kunakoambatana na kuonana mizigo laivu tiiiiiiiiiiBado hujafanya kazi na engineering companies za Italy [emoji634] [emoji7] kule kwenye mji wa wanaume watupu. Huwa kondoo mweusi tiiiiiii huzikwa mzima mzima akiwa amesindikizwa ma majogooo meusi tiiiiii na huswaliwa dua ambayo huambatana na matambiko ya kucheza uchi
Sasa wao walivyopasua nazi kisha wakaendelea na kazi zao nini kilichofanya uwaone kuwa ni wachawi?? Mbona hata majumbani kwetu tunapotaka kula vyakula vya nazi hilo ni jambo la kawaida tu? Tunapasua, tunakuna kisha tunaichuja na kutumia tui lake kwenye mapishi yetu kila siku!!Hapa mahali ninapofanyia kazi kwenye kampuni kuna ujenzi mkubwa unaendelea wanasimika mitungi mikubwa ile ya ardhini.
Sasa kampuni inayofanya kazi hiyo ni ya wahindi aisee nimeona kwa macho yangu kabla kazi haijaanza wameenda katikati ya uwanja wakapasua nazi yaani bila hata kificho wamefanya laivu.
Wamepaaua nazi ndio wakaanza rasmi kufanya shughuli
Leo nimejua kumbe uchawi upo kila sehemu tatizo waafrika badala ya kuutumia kwa maendeleo wao wanalogana
Mpemba mweusi tiii naye hujiita mwarabuMihindi/miarabu/mizungu/michina sio wenzenu ila nyie kila siku "kwa wenzetu" si bungeni hadi mitaani. Hao watu hawawaoni nyie kama wenzao let alone kuwaita nyie wenzenu hata kwa bahati mbaya ila nyie hamchoki kujikomba.
Secondly, mitanganyika itaamini hii story kama inavyoamini story zingine zote za kishirikina bila kufanya any reasoning. Mimi naweza kuanzisha uzi kwamba nilikufa nikafufuka kichawi na mitanganyika ilivyo mizwazwa na kuamini ushrikina itaamini kila kitu na kwenda kusimulia wengine. Story zote za kishirikina zipo hivi- hearsay.
Scars Mr. Sound ndege JOHN
Sijaelewa mechanism ya kuvunja nazi ina relate vipi na uchawiMihindi/miarabu/mizungu/michina sio wenzenu ila nyie kila siku "kwa wenzetu" si bungeni hadi mitaani. Hao watu hawawaoni nyie kama wenzao let alone kuwaita nyie wenzenu hata kwa bahati mbaya ila nyie hamchoki kujikomba.
Secondly, mitanganyika itaamini hii story kama inavyoamini story zingine zote za kishirikina bila kufanya any reasoning. Mimi naweza kuanzisha uzi kwamba nilikufa nikafufuka kichawi na mitanganyika ilivyo mizwazwa na kuamini ushrikina itaamini kila kitu na kwenda kusimulia wengine. Story zote za kishirikina zipo hivi- hearsay.
Scars Mr. Sound ndege JOHN
Hapa mahali ninapofanyia kazi kwenye kampuni kuna ujenzi mkubwa unaendelea wanasimika mitungi mikubwa ile ya ardhini.
Sasa kampuni inayofanya kazi hiyo ni ya wahindi aisee nimeona kwa macho yangu kabla kazi haijaanza wameenda katikati ya uwanja wakapasua nazi yaani bila hata kificho wamefanya laivu.
Wamepaaua nazi ndio wakaanza rasmi kufanya shughuli.
Leo nimejua kumbe uchawi upo kila sehemu tatizo waafrika badala ya kuutumia kwa maendeleo wao wanalogana.