Kumbe wenzetu ngozi nyeupe wanaendesha teknolojia kwa uchawi, leo nimeshuhudia kwa macho yangu

Kumbe wenzetu ngozi nyeupe wanaendesha teknolojia kwa uchawi, leo nimeshuhudia kwa macho yangu

chukua mwiko uliosongea ugali usiuoshe uuweke chini ya mto usiku halafu ulale, utakachokiona utakuja kunishukuru sawa?
Ndiyo safi sana ! ubarikiwe mtumishi nitajaribu one day!
 
Mkuu umeongea kwa 'temper ' sana [emoji23]
Yaani ukweli na temper havi changangamani mie hawa nawajua fika haswaaaa! sababu nimeishi nao hawa! km Afisa wa serikali! waliniheshimu tu kinafiki !! ajili ya huo u- Ofisa wangu! lkn kina kajamba nani weusi walikuwa wanaisoma number hallow!!

Nilijua tu! hawa! one day km sina hiki cheo hawata nijua!! so nikawakamua kwelikweli!...nilipooondoka sikurudi tena nyuma sidhani km wata nikumbuka tena!! ikitokea nimerudi naanza upya! sitaki mazoea nao!
 
Yes! Watanzania washamba walio wengi hawajui hili.!
Hembu tufafanulie sisi washamba....kwa hiyo wahindi ni black race? MTU mshamba ni yule asiyeweza kutofautisha kati ya wazungu, Waamerika na Waasia!Wahindi ni Waasia (kuna watu wanaodhani ya kwamba kila mweupe ni mzungu MF akiona mjapani ni mzungu,Muamerika ni mzungu mu Asia ni mzungu! N.k
Kwa suala LA Whites mi naelewa kama ni matabaka mengine ya watu nje ya Waafrika kusini ya jangwa LA sahara n.k.(Kama una maarifa tofauti na mengine naomba UFAFANUZI maana hili ni jukwaa LA great thinkers ili na mengine wajifunze ikiwa ni pamoja na Mimi!!!)
 
chukua mwiko uliosongea ugali usiuoshe uuweke chini ya mto usiku halafu ulale, utakachokiona utakuja kunishukuru sawa?
Ebu! mkuu nipe japo intro......nisije jikuta niko katikti ya wachawi halafu nishindwe kujitetea! utasikia;; enehhee! na wewe? Loool! .....si watanimaliza?
 
Kichekesho sasa! ni kuwa huyu huyu!! mjinga! mjinga! Maskini, mpumbavu, asiye na A'' wala B'' anamtesa sana mtu mweusi na kamwe hamtakaa mchangamane na Muhindi!! ikitokea kuzaa na swahili! wanabeba damu yao! halafu hawawapendi kushirikiana na nyie weusi!! zaidi ya kuwa fanyia kazi tu! hawataki mazoea na weusi!

ikitokea umefanya kazi kwao!! unatengwa flani hivi hamtakaa mjichanganye kiviile! fanya kazi wende kwenu!! utakula kivyako na wao kivyao! yao!! ni yao! hata km walizaliwa hapa vizazi miaka 100!! mswahili never!

wako tayari wakaishi South! kenya, canada lkn siyo kuwa kitu kimoja na jiswahili !!hkn haja ya kuchunguza ndo ilivo! wana shule, makanisa, viwanja vya michezo, makaburi Hospital zao! hawataki nuksi!! hata humu JF hawamo! hata wa kurumagia!
Mkuu kwa hiyo unabisha kwamba wahindi ni highly uncivilized race, maana umetoa povu sana.......hawa si ndio wanasifika kwa kunya hovyo hovyo mitaani, yaani huko kwao kumiliki choo ni anasa..........
 
Mkuu kwa hiyo unabisha kwamba wahindi ni highly uncivilized race, maana umetoa povu sana.......hawa si ndio wanasifika kwa kunya hovyo hovyo mitaani, yaani huko kwao kumiliki choo ni anasa..........
Wana kunya lkn hawawapendi weusi hata mtambike uchi!
 
Wana kunya lkn hawawapendi weusi hata mtambike uchi!
Kuna jamaa yangu mmoja kule kanda ya ziwa kaoa mhindi, hili unalizungumziaje.........kule kwao wengi wamechoka balaa hata ngozi nyeusi ukienda kule lazima utawanyanyapaa.....
 
Pale Mto wami darajani tumezika vichwa vya Nguruwe, na Paka vya kutosha tukiwa na Mchina mmoja ambaye ni mkubwa wa ile site.
Hahaaa utaacha maustaadh tuache kupita hiyo njia, yaani imejengwa na pua za nguruwe?
 
Kuna jamaa yangu mmoja kule kanda ya ziwa kaoa mhindi, hili unalizungumziaje.........kule kwao wengi wamechoka balaa hata ngozi nyeusi ukienda kule lazima utawanyanyapaa.....
Aoe tu tani yake lkn vitoto!! vitarudi tu Uhindini!!!! wengi tu, kaka yangu kaoa hukoo Punjab ana watoto sita! na wanakaa hapo Bongo!! lkn watoto wame oa/olewa wote Uarabuni na wahindi! !

tukisema ngozi nyeupe ni nyeupe tu!! wachache waelewa wataolewa na waswahili lkn mara nyingi vizazi vya mabele huko wanarudiga waliko toka! mfano Dr winani wa Tarime yule! wote wale watoto ni uzunguni wamerudi!

Remmy Ongala mabinti zake wale wameolewa na machotara wa Jamaica! mshikaji kapigwa chini waziwazi na akapewa na hela atulie! Binti sarungi amenipa shida sana mpaka leo haeleweki mwee! siasa siyo siasa! mara mana harakati! sina hamu! kumi kwa mmoja wanaoolewaga!

Dr Phaisen na nduguze wameoa wazungu wenzao pure! tatizo sisi ni vikwapa vya extended family ndo inaletaga shida! kwao! ukioa wale muwe nyie tuuu! ndo walivo
 
Kama sisi kabla hatujaanza kujenga msingi kwny zile mifereji ya msingi tunamwaga maji yenye chumvi huku Padri akisema maneno kutoka ktk kitabu chake huo pia ni uchawi?
 
Kama sisi kabla hatujaanza kujenga msingi kwny zile mifereji ya msingi tunamwaga maji yenye chumvi huku Padri akisema maneno kutoka ktk kitabu chake huo pia ni uchawi?
Mapadre wote wana asili ya Olympian gods! tena sasa huu ndo uchawi number moja Duniani! usiwaamini sana mapadri hawa viajana hawa wasio oa hawa pwiii! sijui mungu gani aliwaagiza
 
Mapadre wote wana asili ya Olympian gods! tena sasa huu ndo uchawi number moja Duniani! usiwaamini sana mapadri hawa viajana hawa wasio oa hawa pwiii! sijui mungu gani aliwaagiza
Kwahyo wanazindika si ndio? Basi mazindiko yao ni safi sana
 
muhindi ni mshirikina big time.
kila hatua ambayo muhindi anapiitia katika kukabiliana na maisha, lazima ashirikishe mambo ya ulozi. ni kawaida yao.
Kwako ni ulozi..ila kwa ndio imani na dini yake..kama ilivyo kwa mababu zetu kabla wazungu na waarabu kuja kuharibu utaratibu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mihindi/miarabu/mizungu/michina sio wenzenu ila nyie kila siku "kwa wenzetu" si bungeni hadi mitaani. Hao watu hawawaoni nyie kama wenzao let alone kuwaita nyie wenzenu hata kwa bahati mbaya ila nyie hamchoki kujikomba.

Secondly, mitanganyika itaamini hii story kama inavyoamini story zingine zote za kishirikina bila kufanya any reasoning. Mimi naweza kuanzisha uzi kwamba nilikufa nikafufuka kichawi na mitanganyika ilivyo mizwazwa na kuamini ushrikina itaamini kila kitu na kwenda kusimulia wengine. Story zote za kishirikina zipo hivi- hearsay.

Scars Mr. Sound ndege JOHN
Mkuu me nazidi kushangaa Sana yaani mtu akiona tukio lisilo la kawaida ye anaamini Ni uchawi....Hata water cycle tuseme Ni uchawi maana maji yanatoka state Moja kwenda nyingine je nao tuite Ni uchawi...mkuu watu wetu uwezo wao Ni mdogo acha waendelee kutapeliwa
 
Me nadhani waanze kulipia uzwazwa wao kodi.
 
Kwanza kuamini tu uchawi una uwezo means tunamvunjia Mungu heshima maana Kama mchawi au huyo shetani(ujinga) Ana uwezo wa kupaa angani au kupotea na kutokezea mahali pengine Basi means tunamuweka Mungu level Moja na wachawi kitu ambacho Ni kichekesho sana..mambo ya uchawi Ni story tu za watu ila ukiwauliza binadamu wote matatizo mawili makubwa yanayowasumbua watakujibu MARADHI na umaskini hakuna Hata mmoja atakayesema uchawi unamsumbua..
Scars
Bufa
 
Back
Top Bottom