Kumbe wenzetu ngozi nyeupe wanaendesha teknolojia kwa uchawi, leo nimeshuhudia kwa macho yangu

Bado hujafanya kazi na engineering companies za Italy 🇮🇹 😍 kule kwenye mji wa wanaume watupu. Huwa kondoo mweusi tiiiiiii huzikwa mzima mzima akiwa amesindikizwa ma majogooo meusi tiiiiii na huswaliwa dua ambayo huambatana na matambiko ya kucheza uchi
Nathibitisha katika hili, nimewahi kufanya kazi na wajerumani kwenye construction flani mkoani Kigoma asee niliyoyaona ni magumu sana hata kuelezea.
 
We mshamba sana , wahindi unawaita ngozi nyeupe? We chizi hasa. Wenzio wazungu na waarabu wanawatumikisha na kuwabagua ujue.
Hapo wanasapoti sayansi ya wazee ambayo ni ya kweli na ndo maisha tunayoishi kila siku
 
Hapa mahali ninapofanyia kazi kwenye kampuni kuna ujenzi mkubwa unaendelea wanasimika mitungi mikubwa ile ya ardhini.

Sasa kampuni inayofanya kazi hiyo ni ya wahindi aisee nimeona kwa macho yangu kabla kazi haijaanza wameenda katikati ya uwanja wakapasua nazi yaani bila hata kificho wamefanya laivu.

Wamepaaua nazi ndio wakaanza rasmi kufanya shughuli.

Leo nimejua kumbe uchawi upo kila sehemu tatizo waafrika badala ya kuutumia kwa maendeleo wao wanalogana.
Imani potofu tu. Uchawi ni maarifa usiyoyajua.
 
Hapa mahali ninapofanyia kazi kwenye kampuni kuna ujenzi mkubwa unaendelea wanasimika mitungi mikubwa ile ya ardhini.

Sasa kampuni inayofanya kazi hiyo ni ya wahindi aisee nimeona kwa macho yangu kabla kazi haijaanza wameenda katikati ya uwanja wakapasua nazi yaani bila hata kificho wamefanya laivu.

Wamepaaua nazi ndio wakaanza rasmi kufanya shughuli.

Leo nimejua kumbe uchawi upo kila sehemu tatizo waafrika badala ya kuutumia kwa maendeleo wao wanalogana.
We nae wahindi si km waafrica tu wote ni uchawi mbele km tai..
 
Simulia kidogo mkuu
kuna daraja moja lilikuwa korofi sana lilisumbua zaidi ya miezi sita, kuna boss wao mmoja alikuja na idea moja ya kibabe sana ilivyotekelezwa ndani ya mwezi tu ngoma ilisimama.
 
Hapa mahali ninapofanyia kazi kwenye kampuni kuna ujenzi mkubwa unaendelea wanasimika mitungi mikubwa ile ya ardhini.

Sasa kampuni inayofanya kazi hiyo ni ya wahindi aisee nimeona kwa macho yangu kabla kazi haijaanza wameenda katikati ya uwanja wakapasua nazi yaani bila hata kificho wamefanya laivu.

Wamepasua nazi ndio wakaanza rasmi kufanya shughuli.

Leo nimejua kumbe uchawi upo kila sehemu tatizo waafrika badala ya kuutumia kwa maendeleo wao wanalogana.
Bro kupasua nazinkwa wahundi sio uchawi bi utamaduni wao kwa tukio kubwa mfano harusi,mazishi n.k
 
Asili ya uchawi ni shetani,na shetani yupo dunia nzima.
Ukishatumika kwa maendeleo hauwa uchawi inaitwa sayansi ya giza.
Kazi ya uchawi ni kuharibu sio kuleta maendeleo.
 
Bro kupasua nazinkwa wahundi sio uchawi bi utamaduni wao kwa tukio kubwa mfano harusi,mazishi n.k
Kupasua nazi sio uchawi ni mambo ya kisaikolojia zaidi Ili kuiamrisha akili itende zaidi kufanikisha jambo ulitakalo.
Hizi ni elimu za mambo ya kiroho.
Mfano unaweza ukachukua nazi ukanuiza mabaya yote ukayafunga kwa kuyatamka kwenye nazi then unaenda njia panda kama Hakuna njiapanda unachukua karatasi unachora msalaba then unabamiza kwa nguvu kuipasua kuhashiria mwisho wa matatizo au kuanza upya kwa maisha yako mapya.
 
Ukiambiwa upeleke ngozi nyeupe unapeleka wahindi? au wewe ni shabani houseboy wa mhindi..........katika watu ambao wanaongoza kuwa uncivilized ni wahindi....
 
Mi mjombaangu alikuwa anafanya kazi kampuni ya ZECUF ya wahindi alikuwa dereva, ilikuwa kama wanasafari ya mkoani bas inawekwa nazi nyuma ya tairi kisha anazikanyaga kwa reverse, pia kuna wahindi niliwaona mkoa fulani wameenda kununua mpunga kwenye godauni fulani ivi aisee wakapasua kwanza nazi juu ya mzani mkubwa wa umeme..

Hao kuvunja nazi ni kawaida yao
 
Wale ni wachawi mbona kawaida.
Unaona sasa!!! yaani miafrica imepumbazwa haswa mpaka kiama!! imelala usingizi wa pono!!! Ujanja eti yanaita uchawi bin ulozi! jiulize tu km ni uchawi wa shetani, Nazi pia imeumbwa na shetani?? ana ujanja wa kuumba kitu nazi yule??..... au nani kaiumba nazi!

Musa alirusha mchanga juu! ukawa chawa!! wakawatafuna wa Misiri mpaka wakaachia! lkn Musa angefanya hivi leo !! Bongo wasinge muamini kabisaa wangesema hili jamaa chawi tu! Hapo ndo miafrica imepigwa Bao la nyaa!!

watu wachache,km Waganga, wasomi wa juu! hawatakuelewa ukiwapa slogan za kiivo! eti huo ni uchawi!!! kwa hiyo? ......tukae tu! au tufe?!.....mambo hayaendi bila Nazi! au hirizi, .......kwani saa ina tofauti gani na hirizi/nazi? Chanjo ya covid ina tofauti gani na chanjo ya chale za mganga??

Yaani Maafrica yamebaki ni vichekesho tuuuu!! mpaka leo! utadhani km yamechorwa vile!! hata lisome vipi!!! ujinga ujinga ule hauishi!!! hata ukiyaroga unapoteza kadawa kako tu!! Sasa sikia ili uende Sayari za juu!! lazima utambike uchi kwanza! vinginevyo Apollo!! haikinyanyui!!! au mtaanguka tu bin kupotea!

Madaraja yote nchiniDuniani!! yanaenda na matambiko rasmi! tena kutambikia/kuchawia walijulia kwetu basi! funguka! na ukikaa sana na waafrica unakuwa mjinga!
 
katika watu ambao wanaongoza kuwa uncivilized ni wahindi....
Kichekesho sasa! ni kuwa huyu huyu!! mjinga! mjinga! Maskini, mpumbavu, asiye na A'' wala B'' anamtesa sana mtu mweusi na kamwe hamtakaa mchangamane na Muhindi!! ikitokea kuzaa na swahili! wanabeba damu yao! halafu hawawapendi kushirikiana na nyie weusi!! zaidi ya kuwa fanyia kazi tu! hawataki mazoea na weusi!

ikitokea umefanya kazi kwao!! unatengwa flani hivi hamtakaa mjichanganye kiviile! fanya kazi wende kwenu!! utakula kivyako na wao kivyao! yao!! ni yao! hata km walizaliwa hapa vizazi miaka 100!! mswahili never!

wako tayari wakaishi South! kenya, canada lkn siyo kuwa kitu kimoja na jiswahili !!hkn haja ya kuchunguza ndo ilivo! wana shule, makanisa, viwanja vya michezo, makaburi Hospital zao! hawataki nuksi!! hata humu JF hawamo! hata wa kurumagia!
 
Mkuu umeongea kwa 'temper ' sana [emoji23]
 
muhindi ni mshirikina big time.
kila hatua ambayo muhindi anapiitia katika kukabiliana na maisha, lazima ashirikishe mambo ya ulozi. ni kawaida yao.
 
Unaona sasa!!! yaani miafrica imepumbazwa haswa mpaka kiama!! imelala usingizi wa pono!!! Ujanja eti yanaita uchawi bin ulozi! jiulize tu km ni uchawi wa shetani, Nazi pia imeumbwa na shetani?? ana ujanja wa kuumba kitu nazi yule??..... au nani kaiumba nazi!

Musa alirusha mchanga juu! ukawa chawa!! wakawatafuna wa Misiri mpaka wakaachia! lkn Musa angefanya hivi leo !! Bongo wasinge muamini kabisaa wangesema hili jamaa chawi tu! Hapo ndo miafrica imepigwa Bao la nyaa!!

watu wachache,km Waganga, wasomi wa juu! hawatakuelewa ukiwapa slogan za kiivo! eti huo ni uchawi!!! kwa hiyo? ......tukae tu! au tufe?!.....mambo hayaendi bila Nazi! au hirizi, .......kwani saa ina tofauti gani na hirizi/nazi? Chanjo ya covid ina tofauti gani na chanjo ya chale za mganga??

Yaani Maafrica yamebaki ni vichekesho tuuuu!! mpaka leo! utadhani km yamechorwa vile!! hata lisome vipi!!! ujinga ujinga ule hauishi!!! hata ukiyaroga unapoteza kadawa kako tu!! Sasa sikia ili uende Sayari za juu!! lazima utambike uchi kwanza! vinginevyo Apollo!! haikinyanyui!!! au mtaanguka tu bin kupotea!

Madaraja yote nchiniDuniani!! yanaenda na matambiko rasmi! tena kutambikia/kuchawia walijulia kwetu basi! funguka! na ukikaa sana na waafrica unakuwa mjinga!
chukua mwiko uliosongea ugali usiuoshe uuweke chini ya mto usiku halafu ulale, utakachokiona utakuja kunishukuru sawa?
 
Back
Top Bottom