Nathibitisha katika hili, nimewahi kufanya kazi na wajerumani kwenye construction flani mkoani Kigoma asee niliyoyaona ni magumu sana hata kuelezea.Bado hujafanya kazi na engineering companies za Italy ๐ฎ๐น ๐ kule kwenye mji wa wanaume watupu. Huwa kondoo mweusi tiiiiiii huzikwa mzima mzima akiwa amesindikizwa ma majogooo meusi tiiiiii na huswaliwa dua ambayo huambatana na matambiko ya kucheza uchi
Hapo wanasapoti sayansi ya wazee ambayo ni ya kweli na ndo maisha tunayoishi kila sikuWe mshamba sana , wahindi unawaita ngozi nyeupe? We chizi hasa. Wenzio wazungu na waarabu wanawatumikisha na kuwabagua ujue.
Simulia kidogo mkuuNathibitisha katika hili, nimewahi kufanya kazi na wajerumani kwenye construction flani mkoani Kigoma asee niliyoyaona ni magumu sana hata kuelezea.
Imani potofu tu. Uchawi ni maarifa usiyoyajua.Hapa mahali ninapofanyia kazi kwenye kampuni kuna ujenzi mkubwa unaendelea wanasimika mitungi mikubwa ile ya ardhini.
Sasa kampuni inayofanya kazi hiyo ni ya wahindi aisee nimeona kwa macho yangu kabla kazi haijaanza wameenda katikati ya uwanja wakapasua nazi yaani bila hata kificho wamefanya laivu.
Wamepaaua nazi ndio wakaanza rasmi kufanya shughuli.
Leo nimejua kumbe uchawi upo kila sehemu tatizo waafrika badala ya kuutumia kwa maendeleo wao wanalogana.
We nae wahindi si km waafrica tu wote ni uchawi mbele km tai..Hapa mahali ninapofanyia kazi kwenye kampuni kuna ujenzi mkubwa unaendelea wanasimika mitungi mikubwa ile ya ardhini.
Sasa kampuni inayofanya kazi hiyo ni ya wahindi aisee nimeona kwa macho yangu kabla kazi haijaanza wameenda katikati ya uwanja wakapasua nazi yaani bila hata kificho wamefanya laivu.
Wamepaaua nazi ndio wakaanza rasmi kufanya shughuli.
Leo nimejua kumbe uchawi upo kila sehemu tatizo waafrika badala ya kuutumia kwa maendeleo wao wanalogana.
Hata mi nimeshangaaWahindi hawahesabiki kama โngozi nyeupeโ.
Wale ni wachawi mbona kawaida.
kuna daraja moja lilikuwa korofi sana lilisumbua zaidi ya miezi sita, kuna boss wao mmoja alikuja na idea moja ya kibabe sana ilivyotekelezwa ndani ya mwezi tu ngoma ilisimama.Simulia kidogo mkuu
Bro kupasua nazinkwa wahundi sio uchawi bi utamaduni wao kwa tukio kubwa mfano harusi,mazishi n.kHapa mahali ninapofanyia kazi kwenye kampuni kuna ujenzi mkubwa unaendelea wanasimika mitungi mikubwa ile ya ardhini.
Sasa kampuni inayofanya kazi hiyo ni ya wahindi aisee nimeona kwa macho yangu kabla kazi haijaanza wameenda katikati ya uwanja wakapasua nazi yaani bila hata kificho wamefanya laivu.
Wamepasua nazi ndio wakaanza rasmi kufanya shughuli.
Leo nimejua kumbe uchawi upo kila sehemu tatizo waafrika badala ya kuutumia kwa maendeleo wao wanalogana.
Asili ya uchawi ni shetani,na shetani yupo dunia nzima.Hapa mahali ninapofanyia kazi kwenye kampuni kuna ujenzi mkubwa unaendelea wanasimika mitungi mikubwa ile ya ardhini.
Sasa kampuni inayofanya kazi hiyo ni ya wahindi aisee nimeona kwa macho yangu kabla kazi haijaanza wameenda katikati ya uwanja wakapasua nazi yaani bila hata kificho wamefanya laivu.
Wamepasua nazi ndio wakaanza rasmi kufanya shughuli.
Leo nimejua kumbe uchawi upo kila sehemu tatizo waafrika badala ya kuutumia kwa maendeleo wao wanalogana.
Kupasua nazi sio uchawi ni mambo ya kisaikolojia zaidi Ili kuiamrisha akili itende zaidi kufanikisha jambo ulitakalo.Bro kupasua nazinkwa wahundi sio uchawi bi utamaduni wao kwa tukio kubwa mfano harusi,mazishi n.k
Unaona sasa!!! yaani miafrica imepumbazwa haswa mpaka kiama!! imelala usingizi wa pono!!! Ujanja eti yanaita uchawi bin ulozi! jiulize tu km ni uchawi wa shetani, Nazi pia imeumbwa na shetani?? ana ujanja wa kuumba kitu nazi yule??..... au nani kaiumba nazi!Wale ni wachawi mbona kawaida.
Kichekesho sasa! ni kuwa huyu huyu!! mjinga! mjinga! Maskini, mpumbavu, asiye na A'' wala B'' anamtesa sana mtu mweusi na kamwe hamtakaa mchangamane na Muhindi!! ikitokea kuzaa na swahili! wanabeba damu yao! halafu hawawapendi kushirikiana na nyie weusi!! zaidi ya kuwa fanyia kazi tu! hawataki mazoea na weusi!katika watu ambao wanaongoza kuwa uncivilized ni wahindi....
Mkuu umeongea kwa 'temper ' sana [emoji23]Kichekesho sasa! ni kuwa huyu huyu!! mjinga! mjinga! Maskini, mpumbavu, asiye na A'' wala B'' anamtesa sana mtu mweusi na kamwe hamtakaa mchangamane na Muhindi!! ikitokea kuzaa na swahili! wanabeba damu yao! halafu hawawapendi kushirikiana na nyie weusi!! zaidi ya kuwa fanyia kazi tu! hawataki mazoea na weusi!
ikitokea umefanya kazi kwao!! unatengwa flani hivi hamtakaa mjichanganye kiviile! fanya kazi wende kwenu!! utakula kivyako na wao kivyao! yao!! ni yao! hata km walizaliwa hapa vizazi miaka 100!! mswahili never!
wako tayari wakaishi South! kenya, canada lkn siyo kuwa kitu kimoja na jiswahili !!hkn haja ya kuchunguza ndo ilivo! wana shule, makanisa, viwanja vya michezo, makaburi Hospital zao! hawataki nuksi!! hata humu JF hawamo! hata wa kurumagia!
chukua mwiko uliosongea ugali usiuoshe uuweke chini ya mto usiku halafu ulale, utakachokiona utakuja kunishukuru sawa?Unaona sasa!!! yaani miafrica imepumbazwa haswa mpaka kiama!! imelala usingizi wa pono!!! Ujanja eti yanaita uchawi bin ulozi! jiulize tu km ni uchawi wa shetani, Nazi pia imeumbwa na shetani?? ana ujanja wa kuumba kitu nazi yule??..... au nani kaiumba nazi!
Musa alirusha mchanga juu! ukawa chawa!! wakawatafuna wa Misiri mpaka wakaachia! lkn Musa angefanya hivi leo !! Bongo wasinge muamini kabisaa wangesema hili jamaa chawi tu! Hapo ndo miafrica imepigwa Bao la nyaa!!
watu wachache,km Waganga, wasomi wa juu! hawatakuelewa ukiwapa slogan za kiivo! eti huo ni uchawi!!! kwa hiyo? ......tukae tu! au tufe?!.....mambo hayaendi bila Nazi! au hirizi, .......kwani saa ina tofauti gani na hirizi/nazi? Chanjo ya covid ina tofauti gani na chanjo ya chale za mganga??
Yaani Maafrica yamebaki ni vichekesho tuuuu!! mpaka leo! utadhani km yamechorwa vile!! hata lisome vipi!!! ujinga ujinga ule hauishi!!! hata ukiyaroga unapoteza kadawa kako tu!! Sasa sikia ili uende Sayari za juu!! lazima utambike uchi kwanza! vinginevyo Apollo!! haikinyanyui!!! au mtaanguka tu bin kupotea!
Madaraja yote nchiniDuniani!! yanaenda na matambiko rasmi! tena kutambikia/kuchawia walijulia kwetu basi! funguka! na ukikaa sana na waafrica unakuwa mjinga!