Kumbe Yanga ilicheza na timu ya vijana ya CR Belouzdad, mashabiki wanamjia juu kocha kwa kudharau mechi

Hawa viumbe wenye mikia wanavyo hangaika, tuuma zinaendelea
1. Majini
2. Sindano
3. Vijana
4. Itaendelea...
NB: Hata wao waliweka vijana 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umesoma comment mbili za youtube basi ushafanya conclusion na kuacha comments nyingine zote zilizokuwa kwenye hiyo video..

Acha uzwazwa
 
Mbona Kwenye Bench, Coacher Na Wachezaji Walileteana Vurumae Kwa Kuwatoa Waliokuwepo Uwanjani?

Kwahiyo Walitolewa Youth Wakaingia Wakubwa?
 
Ndio Maana Waliitwa Mbumbumbu
 
Hawa viumbe wenye mikia wanavyo hangaika, tuuma zinaendelea
1. Majini
2. Sindano
3. Vijana
4. Itaendelea...
NB: Hata wao waliweka vijana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Majini mlitaka kunywa damu ya kamwe
 
Hahahahaha...hapana ni lazima waoneshe jinsi gani wao ni mbumbumbu na wajinga
 
Punguza kula ugoro kijana, matokeo yake ndo haya, thinking capacity inakuwa very low, umeandika utumbu mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…