Kumbe Yanga ilicheza na timu ya vijana ya CR Belouzdad, mashabiki wanamjia juu kocha kwa kudharau mechi

Kumbe Yanga ilicheza na timu ya vijana ya CR Belouzdad, mashabiki wanamjia juu kocha kwa kudharau mechi

Nimeshangaa kuona kumbe ile timu iliyofungwa jana ni ya vijana wa kutoka academy ya Belouzdad.

Kocha na uongozi unalaumiwa kwa kuwadharau yanga. View attachment 2916451View attachment 2916452
Kosa ulilolifanya ni unetranslate, nikueleweshe tu

Maana ya Chabab Riadh Belouizdad ni Vijana wa Belouizdad. Sasa hiyo vijana haimaanishi ndo wamecheza, ila vijana imetamkwa kama timu
 
Kwahiyo hakuna usajiri wa kupeleka majina Caf, unaamua kuweka yeyote tu?
Hapo chacha. Ukijifanya mwerevu lazima uwe smart. Jamaa andhani hiyo ni Ndondo kwamba utamchezesha hata Mamluki.
 
BADO HAMJASEMA VIZURI.

  • YANGA WANATUMIA MADAWA YA KUSISIMUA MISULI.
  • YANGA WANATUMIA UCHAWI.
  • BELOUIZDAD WALICHEZESHA WATOTO.
  • HIYO LEVEL SISI TUMEINGIA MARA TATU(INGIENI NA HII)
  • OOH SIJUI KUINGIA ROBO TU WATU WAMEZIMIA(ZAMU YENU YA KUZIMIA KWA KUTOKUFUZU INAKUJA)

WASALAAAM
 
Nimeshangaa kuona kumbe ile timu iliyofungwa jana ni ya vijana wa kutoka academy ya Belouzdad.

Kocha na uongozi unalaumiwa kwa kuwadharau yanga. View attachment 2916451View attachment 2916452

IMG_6223.jpg
 
Ila mnahangaika na ushindi wa wenzenu sana inaonekana haujapenda kabisa toka moyoni , tuwekee kikosi kilichoifunga yanga 3 na kilichocheza na Al ahly halafu tupe tofauti
 
Shabaab kwa kiarabu ni vijana, kiingereza youth,timu shabaab (chabab belouizdad),ni tafsiri tu,Kama young Africans useme vijana wa kiafrika
Haelewi maskini alivyoona youth akajua kikosi B, kwanza ungepata wapi jeuri ya kuleta kikosi B na bado huna uhakika wa kufuzu tena ugenini alafu unataka ushindi ili ufuzu
 
Kikubwa ni kwamba walikula 4 watajijua wenyewe na MAKOLO wao.
 
Kwahiyo hakuna usajiri wa kupeleka majina Caf, unaamua kuweka yeyote tu?
Players and staff of CR Belouizdad each deducted 80% of their salaries after the 4-0 defeat in Tanzania
 
Players and staff of CR Belouizdad each deducted 80% of their salaries after the 4-0 defeat in Tanzania
Kuhusu vijana ni uongo bodi ya wa kurugenzi wafyeka asilimia 80 ya mshahara wa wachezaji na viongizi wao baada ya kukandwa 4G na Yanga
 
Back
Top Bottom