Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awepo tu mimi ACT Wazalendo na sitampigia kura Membe. Namchagua LisuTume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania
Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
Lisu ajiandae tu kupambana na Membe kwenye sanduku la kura
Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania
Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
Who cares?Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania
Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
Membe ni mamluki, hapigi kampeni na hawezi kuongea, na hayupo kabisa ACT walivishwa dela la ccm.Lisu ajiandae tu kupambana na Membe kwenye sanduku la kura
Hiyo kitu itafavor zaidi upinzani kwasababu hao wapenzi wa membe ambao hawakubaliani na viongizi wakuu wa act kuhusu kumsupport lissu, either wasingepiga kura au wangempigia magufuli.Kuna wapenzi wake watampa kura na wale wasiokubaliana na huo uamuzi wa kumuengua mtu wao waliyempitisha vikao vya ACT wazalendo vya kamati kuu na mkutano mkuu
Hayo makubaliano ni ya viongozi sio wanachama wa ACT wazalendo
Sasa wewe unahangaika nini hasa? Mbona unakuwa kama kuku anayetaka kutaga yai lake la kwanza?Kuna wapenzi wake watampa kura na wale wasiokubaliana na huo uamuzi wa kumuengua mtu wao waliyempitisha vikao vya ACT wazalendo vya kamati kuu na mkutano mkuu
Hayo makubaliano ni ya viongozi sio wanachama wa ACT wazalendo
Mkuu, kwani kuna shida gani??Kuna wapenzi wake watampa kura na wale wasiokubaliana na huo uamuzi wa kumuengua mtu wao waliyempitisha vikao vya ACT wazalendo vya kamati kuu na mkutano mkuu
Hayo makubaliano ni ya viongozi sio wanachama wa ACT wazalendo
Kura za membe zimeshaharibika. Hazina maana, kulazimisha awepo kwenye sheet ya kura hakuna maana kwa ccm wala chadema. Ni upotevu wa muda wa wapiga kura. Hafanyi kampeni, hatangazi Sera zake sasa wanaompigia kura watatumia vigezo gani? Sura?Kuna wapenzi wake watampa kura na wale wasiokubaliana na huo uamuzi wa kumuengua mtu wao waliyempitisha vikao vya ACT wazalendo vya kamati kuu na mkutano mkuu
Hayo makubaliano ni ya viongozi sio wanachama wa ACT wazalendo
Hahami. Yeye ni mgombea wa ACT Wazalendo (but not active in campaign - strategically?. Hujaelewa bado?kuteuliwa kisha usishiriki kinyangannyiro imekaaje kisheria?
Hivi kama Membe atahama chama kwa sasa na kujiuynga Chadema anaweza kumsaidia Lisu kwenye kampeni?
Je kuhama kwake kutahisabiwa je na Tume au Msajili wa Vyama vya Sisa?
Hiyo kazi ya kutoa elimu kwa wapiga kura imeshaanzwa na Zitto Kabwe. CHADEMA pia kwenye awamu ya pili watakuja kuweka sawa zaidi kwenye hiyo elimu.Mleta mada ana point ya msingi sana. Kama watu wasipopewa elimu ya kutosha, kuna kura nyingi zitapotea kwa sababu ya watu kumpigia kura Membe kisa wameiona sura yake kwenye karatasi ya kupigia kura. Lakini pia haya mambo yasichukuliwe kimzaa, itakuwaje endapo membe atapata kura nyingi kuliko wagombea wote wa urais, je atakataa kuapishwa kisa alimuunga mkono Tundu Lissu?
Hapana, akijitoa officially ACT watakosa platform ya kupigia kampeni ya "ushirikiano" na CDM. Hivi hivi ndo iko poa.Bernard Membe ajitoe officially ili kuondoa confusion asitupotezee ushindi.
Nini maana ya kiongozi? Kwani Ccm ilivyo mpa sumu mangala iliwauliza na kukubaliana na wanachama wao? Ule utaratibu wa kununua wabunge wa upinzani hapo lumumba mlikaa na wanachama makubaliano?????Kuna wapenzi wake watampa kura na wale wasiokubaliana na huo uamuzi wa kumuengua mtu wao waliyempitisha vikao vya ACT wazalendo vya kamati kuu na mkutano mkuu
Hayo makubaliano ni ya viongozi sio wanachama wa ACT wazalendo
Kwani anapiga kampeni?! Unajua jinsi mnavyoibiwa kura?! Utasikia Membe 6.7% lisu 3.3% Magufuli 87% Rungwe 1%, Lipumba 1%, yule wa nccr 0.3%, DP 0.1%, NRA 0.6% .Hapana, akijitoa officially ACT watakosa platform ya kupigia kampeni ya "ushirikiano" na CDM. Hivi hivi ndo iko poa.
Tokea lini wewe ni Act wazalendo? Kura za Membe zipo palepale huu sio ukawa.Awepo tu mimi ACT Wazalendo na sitampigia kura Membe. Namchagua Lisu
Huoni kama itawaathiri CCM hiyo? Wapenzi wengi wa Membe wako CCM, Bora Magufuli aagize picha ya Membe isiwepo kabisa kwenye ballot papers!Kuna wapenzi wake watampa kura na wale wasiokubaliana na huo uamuzi wa kumuengua mtu wao waliyempitisha vikao vya ACT wazalendo vya kamati kuu na mkutano mkuu
Hayo makubaliano ni ya viongozi sio wanachama wa ACT wazalendo
Hawa CHADEMA hawajui kitu,kuwepo kwa picha ya membe kwenye karatasi za kupigia kura kunaleta maana kubwa kuwa huyu mgombea lazima atapata kura,Kwani anapiga kampeni?! Unajua jinsi mnavyoibiwa kura?! Utasikia Membe 6.7% lisu 3.3% Magufuli 87% Rungwe 1%, Lipumba 1%, yule wa nccr 0.3%, DP 0.1%, NRA 0.6% .
Halafu game over.
Umeeleza vizuri sana, ila kwenye waziri mkuu wa Tz haiwezekani kwa Membe. Kutokana na KATIBA ya JMT, Waziri mkuu lazima atokane na Mbunge wa kuchaguliwa na wananchi jimboni. Membe hagombei ubunge jimboni.Naamini ACT wametumia mbinu ile ile waliyotumia kupiga chenga pale Lipumba alipopewa ushindi dhidi ya maalim Seif.Badala kukata rufaa na kupoteza muda wakaamua wote kuhama kumuwachia chama Lipumba.Na safari hii wameshapata tetesi za makusudia ya tume ya uchaguzi wakitangaza ushirikiano baina ya vyama wakati wa kampeni.Hivyo wameamua kukaa kimya tu majukwaani lakini kichini chini kampeni ni kwa Lisu ili Membe aje kuwa waziri mkuu.Watanzania siku hizi wamekuwa waelewa na wajanja sana.