Uchaguzi 2020 Kumbuka: Karatasi za kupigia kura zitakuwa na picha ya Bernard Membe kama Mgombea Urais wa ACT Wazalendo

Uchaguzi 2020 Kumbuka: Karatasi za kupigia kura zitakuwa na picha ya Bernard Membe kama Mgombea Urais wa ACT Wazalendo

Lisu ajiandae tu kupambana na Membe kwenye sanduku la kura

Mrs Van
Mrs Van
JF-Expert Member
5 minutes ago
Add bookmark
#14
Kama ni hivyo na ambao rufaa zao zinakubalika inakuaje

☝️☝️ Tunaomba Majibu hapa
 
Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania

Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
Who cares?

Wekeni hadi za Lowassa...

You people mliona upinzani ni kitu kisicho na nguvu,kuja kuhamaki ni tembo.....deal with it!

Ni peoples' desire,huwezi zuia....wekeni Membe sijui Magufuli sijui Lowassa sijui Piere Likwidi,etc....Lissu is gonna rape all of you in a broad day light!

Deal with that!
 
Kuna wapenzi wake watampa kura na wale wasiokubaliana na huo uamuzi wa kumuengua mtu wao waliyempitisha vikao vya ACT wazalendo vya kamati kuu na mkutano mkuu

Hayo makubaliano ni ya viongozi sio wanachama wa ACT wazalendo
Hiyo kitu itafavor zaidi upinzani kwasababu hao wapenzi wa membe ambao hawakubaliani na viongizi wakuu wa act kuhusu kumsupport lissu, either wasingepiga kura au wangempigia magufuli.

Lakini kwa vile mtu wao yumo kwenye ballot, they will vote for him. So Magufuli atakosa kura zao. Kwa wafuasi wa act watakaofuata maelekezo ya viongozi wao watampigia kura lissu.
 
Kuna wapenzi wake watampa kura na wale wasiokubaliana na huo uamuzi wa kumuengua mtu wao waliyempitisha vikao vya ACT wazalendo vya kamati kuu na mkutano mkuu

Hayo makubaliano ni ya viongozi sio wanachama wa ACT wazalendo
Sasa wewe unahangaika nini hasa? Mbona unakuwa kama kuku anayetaka kutaga yai lake la kwanza?
Au nawe unahitaji kura ya Sugu wa Mbeya?
 
Kuna wapenzi wake watampa kura na wale wasiokubaliana na huo uamuzi wa kumuengua mtu wao waliyempitisha vikao vya ACT wazalendo vya kamati kuu na mkutano mkuu

Hayo makubaliano ni ya viongozi sio wanachama wa ACT wazalendo
Mkuu, kwani kuna shida gani??
 
Kuna wapenzi wake watampa kura na wale wasiokubaliana na huo uamuzi wa kumuengua mtu wao waliyempitisha vikao vya ACT wazalendo vya kamati kuu na mkutano mkuu

Hayo makubaliano ni ya viongozi sio wanachama wa ACT wazalendo
Kura za membe zimeshaharibika. Hazina maana, kulazimisha awepo kwenye sheet ya kura hakuna maana kwa ccm wala chadema. Ni upotevu wa muda wa wapiga kura. Hafanyi kampeni, hatangazi Sera zake sasa wanaompigia kura watatumia vigezo gani? Sura?
 
kuteuliwa kisha usishiriki kinyangannyiro imekaaje kisheria?
Hivi kama Membe atahama chama kwa sasa na kujiuynga Chadema anaweza kumsaidia Lisu kwenye kampeni?
Je kuhama kwake kutahisabiwa je na Tume au Msajili wa Vyama vya Sisa?
Hahami. Yeye ni mgombea wa ACT Wazalendo (but not active in campaign - strategically?. Hujaelewa bado?
 
Mleta mada ana point ya msingi sana. Kama watu wasipopewa elimu ya kutosha, kuna kura nyingi zitapotea kwa sababu ya watu kumpigia kura Membe kisa wameiona sura yake kwenye karatasi ya kupigia kura. Lakini pia haya mambo yasichukuliwe kimzaa, itakuwaje endapo membe atapata kura nyingi kuliko wagombea wote wa urais, je atakataa kuapishwa kisa alimuunga mkono Tundu Lissu?
Hiyo kazi ya kutoa elimu kwa wapiga kura imeshaanzwa na Zitto Kabwe. CHADEMA pia kwenye awamu ya pili watakuja kuweka sawa zaidi kwenye hiyo elimu.

Hilo la Membe kupata kura nyingi zaidi kuliko wagombea wengine ni theory yako tu, hata angekua active kwenye campaign hawezi kupata hizo kura unazofikiri. Jikite tu kwenye huo ushirikiano wa CDM na ACT, narudio tena "Ushirikiano" siyo kuungana.
 
Bernard Membe ajitoe officially ili kuondoa confusion asitupotezee ushindi.
Hapana, akijitoa officially ACT watakosa platform ya kupigia kampeni ya "ushirikiano" na CDM. Hivi hivi ndo iko poa.
 
Naamini ACT wametumia mbinu ile ile waliyotumia kupiga chenga pale Lipumba alipopewa ushindi dhidi ya maalim Seif.Badala kukata rufaa na kupoteza muda wakaamua wote kuhama kumuwachia chama Lipumba.Na safari hii wameshapata tetesi za makusudia ya tume ya uchaguzi wakitangaza ushirikiano baina ya vyama wakati wa kampeni.

Hivyo wameamua kukaa kimya tu majukwaani lakini kichini chini kampeni ni kwa Lisu ili Membe aje kuwa waziri mkuu.Watanzania siku hizi wamekuwa waelewa na wajanja sana.
 
Kuna wapenzi wake watampa kura na wale wasiokubaliana na huo uamuzi wa kumuengua mtu wao waliyempitisha vikao vya ACT wazalendo vya kamati kuu na mkutano mkuu

Hayo makubaliano ni ya viongozi sio wanachama wa ACT wazalendo
Nini maana ya kiongozi? Kwani Ccm ilivyo mpa sumu mangala iliwauliza na kukubaliana na wanachama wao? Ule utaratibu wa kununua wabunge wa upinzani hapo lumumba mlikaa na wanachama makubaliano?????
Acha kuandika chochote bhana
 
Hapana, akijitoa officially ACT watakosa platform ya kupigia kampeni ya "ushirikiano" na CDM. Hivi hivi ndo iko poa.
Kwani anapiga kampeni?! Unajua jinsi mnavyoibiwa kura?! Utasikia Membe 6.7% lisu 3.3% Magufuli 87% Rungwe 1%, Lipumba 1%, yule wa nccr 0.3%, DP 0.1%, NRA 0.6% .
Halafu game over.
 
Kuna wapenzi wake watampa kura na wale wasiokubaliana na huo uamuzi wa kumuengua mtu wao waliyempitisha vikao vya ACT wazalendo vya kamati kuu na mkutano mkuu

Hayo makubaliano ni ya viongozi sio wanachama wa ACT wazalendo
Huoni kama itawaathiri CCM hiyo? Wapenzi wengi wa Membe wako CCM, Bora Magufuli aagize picha ya Membe isiwepo kabisa kwenye ballot papers!
 
Kwani anapiga kampeni?! Unajua jinsi mnavyoibiwa kura?! Utasikia Membe 6.7% lisu 3.3% Magufuli 87% Rungwe 1%, Lipumba 1%, yule wa nccr 0.3%, DP 0.1%, NRA 0.6% .
Halafu game over.
Hawa CHADEMA hawajui kitu,kuwepo kwa picha ya membe kwenye karatasi za kupigia kura kunaleta maana kubwa kuwa huyu mgombea lazima atapata kura,

Mwaka 2015 nikisimamia uchaguzi huko lindi ndani ndani,cha kushangaza nilikuta mgombea wa chama cha NLD kapata kura nyingi kuliko aluzopata mgombea wa CHADEMA, sasa nikajiuliza huyu kapataje ili khali hata kampeni zake kwa wilaya ya liwale hazikufika?

Hivyo ni ukweli usiopingika huyu membe lazima apate kura nyingi sana tena kumliko lissu
 
Naamini ACT wametumia mbinu ile ile waliyotumia kupiga chenga pale Lipumba alipopewa ushindi dhidi ya maalim Seif.Badala kukata rufaa na kupoteza muda wakaamua wote kuhama kumuwachia chama Lipumba.Na safari hii wameshapata tetesi za makusudia ya tume ya uchaguzi wakitangaza ushirikiano baina ya vyama wakati wa kampeni.Hivyo wameamua kukaa kimya tu majukwaani lakini kichini chini kampeni ni kwa Lisu ili Membe aje kuwa waziri mkuu.Watanzania siku hizi wamekuwa waelewa na wajanja sana.
Umeeleza vizuri sana, ila kwenye waziri mkuu wa Tz haiwezekani kwa Membe. Kutokana na KATIBA ya JMT, Waziri mkuu lazima atokane na Mbunge wa kuchaguliwa na wananchi jimboni. Membe hagombei ubunge jimboni.
 
Back
Top Bottom