I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Ikiwa imebaki masaa kidogo tu Rais Magufuli kwenda kuapishwa tena kuwa Rais kwa awamu ya pili mkoa wa Dodoma.( 2020 - 2025)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, hao wote watakuwepo kesho kwa aibu hii kubwa iliyotokea?Wageni wakubwa wakubwa walikuwa wengi kweli wakati huo nchi ilikuwa kwa mwanadiplomasia na mtu wa mataifa. Aliekabidhiwa chacha..😂
Jitu katili kama fisiLilikuwa kabla halijavimbiwa! Kuna majitu nyoko sana dunia hii!
Ni dhiaka kwa MunguKwakweli sioni umuhimu wa hivyo viapo!
'Uchichahau' pia kwamba kwa 'chacha' dunia yote imekumbwa na Mr Corona. Ilikuwa aje hadi Trump, KGB Putin, Xi Jin Ping na Kiduku ili kushuhudia tukio adimu na adhimu la kuapishwa Mtanzania mzalendo aliyezuia korona isituue & makinikia isitutoke.Wageni wakubwa wakubwa walikuwa wengi kweli wakati huo nchi ilikuwa kwa mwanadiplomasia na mtu wa mataifa... Aliekabidhiwa chacha..[emoji23]
Hiyo atakuwa sio Trump ni turampu..😜'Uchichahau' pia kwamba kwa 'chacha' dunia yote imekumbwa na Mr Korona. Ilikuwa aje hadi Trump, KGB Putin, Xi Jin Ping na Kiduku ili kushuhudia tukio adimu na adhimu la kuapishwa Mtanzania mzalendo aliyezuia korona isituue & makinikia isitutoke.
Yeye mwenyewe korona ilimkamata akaenda kujifungia karantini chatotukio adimu na adhimu la kuapishwa Mtanzania mzalendo aliyezuia korona isituue & makinikia isitutoke.
Mh. JiweMama yake nani kafa?
Ni mbaguzi kuliko Makaburu wa enzi za ukoloni wa Afrika KusiniNa leo atarudia maneno hayo hayo bila aibu.
Ni aibu sanaAfu leo atashika na maandiko na kusema tena yale yale ikiwa ni uongo
Kuapa kulinda KATIBA ambayo haina Ibara ya kumshtaki Rais kwa makosa anayofanya akiwa MADARAKANI na baada ya kutoka ni KAZI BURE.Ikiwa imebaki masaa kidogo tu Rais Magufuli kwenda kuapishwa tena kuwa Rais kwa awamu ya pili mkoa wa Dodoma.( 2020 - 2025)