Kumbukizi 2015: “Nitailinda na kuitetea Katiba ya Tanzania; Nitawatendea haki sawa watu wote bila Upendeleo kwa mujibu wa Sheria."- Dkt Magufuli

Kumbukizi 2015: “Nitailinda na kuitetea Katiba ya Tanzania; Nitawatendea haki sawa watu wote bila Upendeleo kwa mujibu wa Sheria."- Dkt Magufuli

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
Ikiwa imebaki masaa kidogo tu Rais Magufuli kwenda kuapishwa tena kuwa Rais kwa awamu ya pili mkoa wa Dodoma.( 2020 - 2025)

 
Wageni wakubwa wakubwa walikuwa wengi kweli wakati huo nchi ilikuwa kwa mwanadiplomasia na mtu wa mataifa... Aliekabidhiwa chacha..😂
 
Wageni wakubwa wakubwa walikuwa wengi kweli wakati huo nchi ilikuwa kwa mwanadiplomasia na mtu wa mataifa. Aliekabidhiwa chacha..😂
Je, hao wote watakuwepo kesho kwa aibu hii kubwa iliyotokea?
 
Afu leo atashika na maandiko na kusema tena yale yale ikiwa ni uongo
 
Hehe bila upendeleo, shenzi "mkiniletea mbunge wa upinzani mtakiona" huo sio upendeleo, ni upendo wa bwana
 
Wageni wakubwa wakubwa walikuwa wengi kweli wakati huo nchi ilikuwa kwa mwanadiplomasia na mtu wa mataifa... Aliekabidhiwa chacha..[emoji23]
'Uchichahau' pia kwamba kwa 'chacha' dunia yote imekumbwa na Mr Corona. Ilikuwa aje hadi Trump, KGB Putin, Xi Jin Ping na Kiduku ili kushuhudia tukio adimu na adhimu la kuapishwa Mtanzania mzalendo aliyezuia korona isituue & makinikia isitutoke.
 
2015 ,"nitawatendea haki sawa watu wote bila upendeleo kwa mujibu wa sheria."
 
'Uchichahau' pia kwamba kwa 'chacha' dunia yote imekumbwa na Mr Korona. Ilikuwa aje hadi Trump, KGB Putin, Xi Jin Ping na Kiduku ili kushuhudia tukio adimu na adhimu la kuapishwa Mtanzania mzalendo aliyezuia korona isituue & makinikia isitutoke.
Hiyo atakuwa sio Trump ni turampu..😜
 
Na leo atarudia maneno hayo hayo bila aibu.
 
Sasa mtu asiyeheshimu viapo, anadhulumu haki za kidemokrasia za wananchi kama vile kuwavurugia kwenye kuchagua viongozi wao (rejea chaguzi serikali za mitaa, zile chaguzi za marudio, uchaguzi mkuu, kesi za kubambikiza etc) then hivyo viapo vina kazi gani!. Bora asiape
 
Ikiwa imebaki masaa kidogo tu Rais Magufuli kwenda kuapishwa tena kuwa Rais kwa awamu ya pili mkoa wa Dodoma.( 2020 - 2025)

Kuapa kulinda KATIBA ambayo haina Ibara ya kumshtaki Rais kwa makosa anayofanya akiwa MADARAKANI na baada ya kutoka ni KAZI BURE.

Haina tofauti na kusali kabla ya kula kwa Wakristu. Usali usisali chakula utakula tu.

Tupiganie Katiba Mpya na TumeHuru ya uchaguzi kwanza.
 
Back
Top Bottom