DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Ni Mkoa ambao unaongoza kwa kutoa watu wajingaSababu ni nini mkuu, maana ndio kwa shujaa wetu TAL huko
Hatari sana. Sasa yupo kwenye CCM ya hovyo bora hata kipindi kile lakini yupo kimyaMwaka 2009's enzi hizo Dr Kitila Mkumbo alinifundisha course moja ya education pale udsm ikiitwa SOCIAL PSYCHOLOGY, mifano na concepts nyingi alikua ni kuiponda Ccm mwanzo mwisho enzi hizo yuko Chadema. Leo 2025 nikimwangalia nachoka kabisa.
Ndiyo ujue nchi imejaa matapeli tupuMwaka 2009's enzi hizo Dr Kitila Mkumbo alinifundisha course moja ya education pale udsm ikiitwa SOCIAL PSYCHOLOGY, mifano na concepts nyingi alikua ni kuiponda Ccm mwanzo mwisho enzi hizo yuko Chadema. Leo 2025 nikimwangalia nachoka kabisa.
Watagawana pepo na moto πKitila wa 2009 akikutana na huyu wa sasa watapigana sana
Na iko verified, hakujua yanayokujaAtasema account sio yake
Wanasiasa sio wa kuaminiwa sanaNa iko verified, hakujua yanayokuja
Mbona juzi kati amelalamika bughudha za kuanzisha Kampuni yake huko Singida, Sasa mrija gani kapewa... ambao bado unamlalamisha namna hii?Amepewa kamrija katulia
Ongezea na slaa...Ili watu mjifunze kwamba hakuna upinzani nchi hii,so msifanye mambo yatakayowaumiza kisa kuipinga CCM,na hii toka mrema,marandoHawa kina kitila mkumbo ni maadui wa taifa, ni machawa, wanafiki, wachumia tumbo, walikuwa wanasaka nafasi ya kulamba asali, kwa kujidai kupiga kelele.
Kuna wapinzani wa aina kadhaa..
Feki kina zito, mbowe.
Wa ukweli nafikiri ni lisu pekee anakaa hapa
Watafuta fursa kina kitila mkumbo na wengineo.
Nae ni wale waleOngezea na slaa...Ili watu mjifunze kwamba hakuna upinzani nchi hii,so msifanye mambo yatakayowaumiza kisa kuipinga CCM,na hii toka mrema,marando
Usicheze na kulambishwa asaliGT
Watu wanasema hata shetani zamani alikuwa malaika aha π π€£ π π kwa kweli wansiaisa wetu wa mchongo wanalithibitisha hilo..
View attachment 3448037
Miafrika ndo tulivyoUsicheze na kulambishwa asali
π, huyu wakati ule yuko na ki xtrail Nissan akishuka na libegi limejaa madokomaa
Sahv muda wote yyko kwenye v8 π anaendeshwa
Ova