Ally kiba,dully na wengineo waliimba muziki gani?Waliotangulia walikuwa wanaimba hipa hop, akina Sir Nature na wenzake. Diamond ndiye alikuwa wa kwanza kuimba bongofleva mkuu. However, I stand to be corrected.
Bongo flava ulianza kabla ya diamond, leo hii ina zaidi ya miaka 30 na inaendelea kutamba. Mchango wake sisemi upo, lakini si mkubwa kihivyo.Mkuu mimi naongelea bongofleva sio muziki wa dansi
Mmanyema wa Burundi hukoMbee! Kwani ni raia wa nchi gani mkuu?
Basi tusubiri ahame ndipo tutajua umuhimu wake. Huwezi kufahamu umuhimu wa kisima hadi kitakapokaukaBongo flava ulianza kabla ya diamond, leo hii ina zaidi ya miaka 30 na inaendelea kutamba. Mchango wake sisemi upo, lakini si mkubwa kihivyo.
Mimi.Kwani unadhani mwanzilishi wa bongofleva katika taifa hili ni nani mkuu?
Mwenye jina ni ke au me?That's my name 😎
Kwa hivyo kabla yeye hajaanza kuimba muziki wa bongo fleva haukuwepo hapa TZ?!.Akihama tu muziki wa bongofleva unakufa.
Dudubaya tunampongeza kwa kuwanyoosha wanaume wabeba vipochi lakini Diamond ameishakataa kuhusika na ushoga.Kwa dudu BAYA msimguse coz ndio cream pekee zilizosalia za kuliponya taifa kulinda uanaume ambao upon Kasi kutoweka nchini!!
Cream hii tumebaki wachache sana!!
Mwacheni dudubaya awanyooshe wavaa helenj wa kiume!!
Kwani anachosema Diamond ni uwongo? Serikali yako ya Chama Cha Machawa (CCM) ndiyo inayomkazia kwa kufungia nyimbo zake kupitia kikundi cha wahuni wanaoitwa BASATA. Hapo unasemaje mkuu? Nini kimekushangaza?Ukisoma comments utagundua bado nchi ina watu wajinga sana wasiotaka kabisa kutumia akili zao. Mnapotoshwa na video ya zamani zaidi ya miaka 7 nyuma. Kiukweli bado kuna wajinga wengi mno wa kupigwa na matapeli.
Endelea kupotosha wajingaKwani anachosema Diamond ni uwongo? Serikali yako ya Chama Cha Machawa (CCM) ndiyo inayomkazia kwa kufungia nyimbo zake kupitia kikundi cha wahuni wanaoitwa BASATA. Hapo unasemaje mkuu? Nini kimekushangaza?