KUMBUKIZI | Diamond Platnumz: Ukinifungia nyimbo, mimi hakunipunguzii Kitu, nita-perform Nchi nyingine

Diamond ni mwanzilishi wa Bongofleva?

Unakatwa
 
Basi tusubiri ahame ndipo tutajua umuhimu wake. Huwezi kufahamu umuhimu wa kisima hadi kitakapokauka
Ok, tusubiri. Jamaa zaidi ya kuwa tu maarufu hana mchango mkubwa.
 
Unafinywa na mashetani ya bahari kuu....

Unatuletea stori za zaman.
 

Kijana wao yuko vizuri πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
 
Angekuwa hana mchango hizo noti zote anazohesabu hapo kwenye video anazipataje mkuu?
Shida ya watanzania nadhani ndiyo hii. Mara nyingi watu hawaangalii kama mwanamuziki anaachia nyimbo nzuri bali wanaangalia kama msanii anatrendi na ni maarufu.

Ndiyo maana huwa nawaangalia tu mnavyowashabikia diamond na Ali Kiba kwa mafanikio ya pesa si uzuri wa nyimbo wanazoachia.

Dah! Utadhani msanii akiwa tajiri anawagawia kiasi fulani cha pesa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndiyo maana huwa nawaangalia tu mnavyowashabikia diamond na Ali Kiba kwa mafanikio ya pesa si uzuri wa nyimbo wanazoachia.
Kwani wana biashara gani zaidi ya muziki mkuu? Diamond kakataa hahusiki na ushoga na u-freemason.
 
Kwani wana biashara gani zaidi ya muziki mkuu? Diamond kakataa hahusiki na ushoga na u-freemason.
Hujaelewa hoja yangu mkuu. Nasema watanzania wanaona msanii ni mzuri kwa sababu ana pesa. Akiwa anatoa ngoma nzuri halafu hana pesa Wala siyo mzuri kwa mujibu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…