PreGE2025 KUMBUKIZI: Gwajima awajibu Machawa: Silaha ya Wajinga ni Kujipendekeza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hata awamu ya Magu, Gwajima alishawahi kuzungumzia utekaji.
 

Jina la Daud Albeto Bashite, bila Gwajima usingelijuwa

Gwajima hapendi ujinga wenu, elewa kabisa
 


Unajifanya unafikiria kumbe unaharisha tu. Ulitaka uonekane ni great thinker. Gwajima amewashika makalio huku mmeinama kote nyuma mpo wazi. Hizi ngonjera ni za kipuuzi. Tunachojali ni anachosema sasa. Kila jambo na wakati wake na huu ndo wakati wa yeye kusema.
 
Siku ya kuokoka, ya jana hayawi sehemu yako tena

Sisi tunamuunga mkono Gwajima kwa kuokoka na kuwa sehemu ya watu waadilifu katika hii nchi

Waadirifu kwenye nchi hii, tunasimama na wanaotekwa, wewe na ccm wenzako, endeleeni kututeka huku mkitetea na kuwawekea ulinzi watoto wenu na kwamba, wao hawapaswi kutekwa wala kufa ila sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…