PreGE2025 KUMBUKIZI: Gwajima awajibu Machawa: Silaha ya Wajinga ni Kujipendekeza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unaweza ukakaa kimya we boya, maana unaongea pumba mashudu na ujinga, upo nje ya Mada, watu wanaongelea utekaji na upotezwaji wa watu/ uhai wao kukatishwa wewe unaleta usenge usenge
 
siijui kama gwaji boy ametumwa au akili yake,,,ila bongo wote ni bongo movie
 
Miongoni mwa jambo naloliona linakuja very soon, kuita press lazima uwe na kibali
 
Umezunguka zunguka kila mahala, lakini rangi yako imebaki pale pale.
Wewe ni mtetezi wa AMANI bila HAKI.
Umenielewa, au hadi nikufafanulie?

Hizo tabia za ulaghai acheni.
 
Mkuu unasahau kuwa Askofu Gwajima naye alikuwa muadhirika wa utawala katili wa Magufuli. Je umesahau sakata la kuvamiwa Clouds na hatimaye nape kutishiwa hadharani kwa bastola?? Acha kujizima data!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…