NB: Video hii ni kumbukizi wakati wa Kampeni za Uchaguzi mwaka 2020
Huyu kiongozi ana mkashifu Mwenyezi Mungu, oky sikiliza mpaka mwisho.👇
"…sikiliza ana mpango gani na tawi lake halafu tutaendelea kuzungumza si ndio? Si tumekuja tuzungumze pamoja, siyo kutoa maagizo sasa hivi, nataka tujue kati ya matawi 6 makatibu tawi mpaka leo hii tarehe 3 bado siku 20 tunakitu. Mipango yenu ni nini ya kuifanya CCM ishinde. Kwasababu ushindi wa CCM hauna Mungu akipenda.
Pia soma:
~ DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
~ Special Thread: TBT za kauli zilizozua gumzo kwenye medani za kisiasa
"Hili mnalijua? Ushindi wa CCM hamna mpaka Mungu apende Hapana, Mungu akijaalia, Hapana, ushindi wa CCM ni lazima na kushinda ni lazima hata iweje, kwahiyo Mungu akipenda.
"Mimi nataka kwanza niwasikie Makatibu Tawi si wana Kamati za Siasa, hata kama wamekuja watatu si wana mipango yao? Naomba nijue tawi moja moja kwanza, wana mipango gani."