KUMBUKIZI: Mada maalum ya kumuenzi Munga Tehnan na kazi zake

Gone are the days when men were men, and monkeys were still in bush! Rest well Munga😪😭
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] kuna mwenzetu hapa amesema bado ana nakala karibia zote za gazeti la Jitambue, naangalia namna ya kufanya project tuhamishie kwenye soft copy...japo hapo kuna changamoto nyingi ikiwemo ya haki miliki
Jitahidi Mshana Jr. Yale magazeti ni hazina. Nina imani utavuka vizingiti vyote ili kumbukumbu za mpendwa wetu Munga zidumu kwa faida ya kizazi cha sasa a vizazi vijavyo.
 
Jitahidi Mshana Jr. Yale magazeti ni hazina. Nina imani utavuka vizingiti vyote ili kumbukumbu za mpendwa wetu Munga zidumu kwa faida ya kizazi cha sasa a vizazi vijavyo.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
 
Kuhusu gazeti la Jitambue nakumbuka mwanzoni lilivutia watu wengi lakini haukupita muda mrefu likawa limekosa mvuto na hatimaye kupotea kabisa.
 
Halafu kulikuwa na SIKU NILIYOFEDHEHEKA!
 
Haya magazeti yalinijenga sana psychologically ingawa nilikua primary. Story 2 sitakaa nizisahau, moja ya yule kijana aliepoteza wazazi wake kwenye ajali yy akapona ila akabaki na alama usoni... Nyingine kijana ambae kila anachokiwaza kinatokea mf alikua anamchukia mdogo wake maana alipendwa sana na baba yao, siku moja akawaza anatamani mdogo wake afe na kweli akafa siku hiyo.... R.I.P Munga, kupitia magazeti yako maisha yangu yalibadilika toka nikiwa mdogo, am always very positive
 

Good Sana! Sir Mshana Jr.
Munga Tehenan,Namkumbuka huyu Gwiji wa Habari,niliwahi msoma kwenye gazeti la RAI Nguvu ya Hoja.
Makala zake zilikuwa za kipekee sana.
Lakini nilikuja kununua kitabu chake ambacho nilijufunza kitu cha pekee sana! ambacho waandishi wengi hawafanyii kazi! Kuthibitisha Uzushi na Myth - Munga alikuwa Mwamba aisee.
Ni katika Kitabu cha SIRI ZA FIMBO YA MWALIMU NYERERE.
Aisee jamaa alikuwa scrutinizer mzuri sana sana.
RIP Munga.
 
Dahh wakuu mmenikumbusha mbali dah...Allah amrehemu huko kaburini
 
Kama kumbukumbu zangu zitakuwa nzuri Munga Tehenani alianzia kwenye chombo cha habari kinachomilikiwa na Chama kifupi kilijulikana kama SMC.... na Mwalimu wake ni Mzee Joe Nakajumo, wa chumba cha habari (Huyo Mzee Nakajumo amewapika malejindari hawahesabiki) mwanzoni mwa 90' kabla hawajahamia vyombo vingine vya Habari. Kwa uchache sana kwasasa wote ni Waandishi wa Habari, Waandamizi... Masoud Sanani, Nicodemus Ikonko, Jane Mihanji, Neli Msuya, Agnes Kabigi, Salva Rweyemamu, Mwina Kaduguda, Cosmas Mlekani, Bahati Mollel... nk... kama kuna mwenye mawasiliano na hao malejindari wawashirikishe kwa hili la nakala za Jitambue au chochote kinachomhusu Munga Tehenani itakuwa jepesi.
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1752][emoji1752][emoji1534][emoji1548]
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Asante sana
 
Reactions: Ilu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…