Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Haupitwi!Mkapa hayupo kamati kuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haupitwi!Mkapa hayupo kamati kuu
Chama hiki kinaua watu makini kwasababu ya kuwakosoa
Mangula atakuwa na hasira na makamba,kinana na membe, kipindi cha JK ilibidi Mangula akalime nyanya huko iringa, alitupwa nje "kinyama" sasa nadhani yuko katika revenge mood awashughulikie kabisa waliomfanya akapigika kimaisha
Sasa ndio anawashughulikia, Kaimu Katibu Mkuu, ni mpwaye Mangula,wote Iringa/Njombe
Nakwambia watanyooka...Chama hakijawahi kumuua mtu kwa kukosoa...Kolimba alikuwa anakifahamu chama ....akiwa siyo kiongozi alidhani angeweza kupambana kwa hoja dhidi ya wenzake...Alipoitwa kujieleza ndipo, nadhani, alipofahamu nguvu ya chama...Simply he couldn't cope with the pressure and also power of the organ-kamati kuu...alizoea kuwahoji wengine lakini alipowekwa kati ili ajieleze hakuchukua muda Aliomba maji na kuomba apumzike kidogo huku akitiririkwa na jasho...that was the end of him....Mungu amlaze mahali pema peponi...Ngoja tuone hawa wengine huku baadhi wakisema wanasubiri barua ya wito kwa hamu...mtakuja kuniambia ...wakiwa nje wanatamba .lakini wakiitwa kujieleza watabadilika mno ndani ya kikao...Baadhi ni lazima wataomba radhi kwa wenzao wanaowahoji...Baadhi hamjui nguvu ya vikao vile...Sisi wengine angalau kidogo tunafahamu ingawa siyo sana...Kamati kuu ya chama siyo chombo cha mchezo mchezo.....wait and see/hear...
Uliyoyasema hapo sio breakingews kwangu nafahamu bwanamdogoUkanali na Uluteni wao siyo wa medani bali wakisiasa zaidi hivyo hautishi sana. Subiri kidogo utaelewa niyasemayo!
Aliyemshughulikia Magula ni Lowasa (akiwa PM) na Makamba kipindi hicho alikuwa Katibu Mkuu wa CCM, walipoondoka, Mzee Mangula alirudi akawa Makamu mwenyekiti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajui hawa miaka ya nyuma enzi za JK, membe ndio alikuwa na nguvu ila baada ya JK kutatwa miguu membe si lolote kwa uongozi wa sasa...Jibu hoja mkuu nimeshasema na narudia tena Membe si Shushushu mmbobezi subiri kidogo matokeo utayapata. Ndani ya CCM wameshamaliza kazi. Nakutuma kamuulize wale watu wake alitaka kuwaigiza kwenye mfumo wa CCM alifanikiwa kuwaingiza wangapi?
Kifo cha Kolimba ni moja ya vivo vyenye utata sana na halikutolewa jibu. Kolimba aliingia kwenye ukumbi wa mahojiano akiwa na siha njema lakini akatolewa kwenye kitanda cha mwakisu (machela)! Kingekuwa ni kikao cha upinzani habari ingekuwa tofauti kwa wajumbe.Nimekumbuka miaka ile aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Horace Kolimba aliposema CCM imekosa dira
Historia imejirudia,ila sasa wameitwa makatibu wakuu wawili,Makamba na Kinana wakajieleze
Mh. Kolimba alishaitwa mbele za haki, apumzike kwa amani
😂😂😂😂
Ni nani Sasa mkuu?
Haupitwi!
Acha wamalizane wao kwa wao. Maana walioitwa kujieleza na waliowaita wote walishirikiana kutufikisha hapa tulipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
We babu kumbe upo kidogo moyo wangu umetulia kukuona mkuu 😂😂😂😂nilifikiri tayari tuanze kutunga nyimbo na kuangalia tenzi ipi itafaa.Ma vampire
😅😅😅😅😅We babu kumbe upo kidogo moyo wangu umetulia kukuona mkuu 😂😂😂😂nilifikiri tayari tuanze kutunga nyimbo na kuangalia tenzi ipi itafaa.
Nakumbuka ilikuwa kipindi cha mwinyiWewe wakati ule mkapa alikuwa Rais na mwenyekiti wa ccm, hebu uwe unatumia akili kidogo