Kumbukizi: Marehemu Horace Kolimba aliitwa ajieleze kwa kusema CCM imekosa dira, apumzike kwa amani

Marehemu Ben Kiko (Benjamin Kikoti), aliyekuwa Muwakilishi wa Mkurugenzi wa RTD, kanda ya Kati wakati huo alinisimulia mwanzo- mwisho mkasa huo...

CCM ni ya kuiogopa mno ni heri kuikosoa ukiwa "nje" kulilo ukiendelea kuwa ndani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eheee, tuletee sasa ile Kamati. Mimi nakumbuka nilikuwa Secondari nikisikikiza BBC NA DOCHOWERE nikapata hii Habari. Enzi hizo nafikiri Mrema ndio alikuwa yupo juu hatariiii. Miaka ya 90s. Leteni wengine tuweke record tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ben Kiko, aliniambiwa " ..dogo Jamaa kauwawa Kwa sumu ilopakwa kwenye MIC tena cha ajabu hakuna Mwandishi wa habari alobaki ndani ya ukumbi kushuhudia kikao hicho na hata yeye alokuwa akimuwakilisha Mkurugenzi Mkuu RTD alitolewa nje ya ukumbi huo wa whitehouse, pale Dom....

Aliendelea kusema hicho ndo kilikuwa kikao cha kwanza cha Kamati Kuu ya CCM kumtaka naye atoke nje.....

Hayo ni machache kati ya mengi alonambia BEN KIKO (rip) nikiwa Ofcn kwake pale RTD Dom....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kusema nini kwa kutuletea hadithi ya Kolimba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…