CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Waislamu wanafanya unafiki au hawajui mafundisho ya Allah
Allah kasema
5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki...... 9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani....
Unafahamu context yake? alikuwa mazingira gani? au unarukiarukia tu vitabu usivovielewa?
Landlord... who are you?
Wewe umeshapuuzwa tokea zamani hakuna mtu mwenye muda wa kujibu mashudu yako.Nafurahi kuona Waislamu humu wameanza kuelewa na kupuuza tu ,hiyo ni hatua nzuri sana kwani majadiliano na watu dizaini yako hayana afya kabisa.
Imani ni shambulio la akili ambalo wenzetu walituwahi.Wagalatia Wana chuki sana hao viumbe,, mi kwangu sipangishi iyo jamii kbs
Hakuna kitu kama Mungu.Watu wako tayari kufa wakitetea hizi dini za kuletewa na watawala wetu. Dini zenyewe zinakinzana huku kila moja ikidai yenyewe ndiyo ya kweli. Huku bado kuna mabilioni ya Wabudha, Washinto na wengineo...nao wanapambana kivyao.
Kwamba eti Mungu Ataokoa watu wa dini moja tu na wengine wote ni motoni. Ni Mungu gani wa aina hiyo?
Jambo hili huwa linanishangaza sana!
Huna akiliKunaondoa vipi uhalisia wa tukio mbona Nyerere day kila mwaka inaadhimishwa ?
Nilikuwa sina bando na nikapuuza sasa nimeona umuhimu wa kuweka kwa sababu Jf idadi ya wapuuzi waiotumia vizuri akili zao humu imeongezeka kwa kasi. Watu hao ni wale waliokosa uadilifu katika kauli zao.
Mbona ni out of date news?!