Kumbukizi ya miaka 20 ya Moses Nnauye imetegua vitendawili vingi

Aliyemuombea Kikwete uwaziri kwa Mwinyi ni Wariobya sio Nnauye.
 
Halafu Nape huyo huyo akatimuliwa kwenye chama wakati wa uongozi huo huo wa mlezi wake !
 
Tatizo unadhani kila mtu ana tabia kama yako...
Au umeshaacha ushoga?
Naomba nitumie kiingereza ili uelewe namaanisha nini. I meant you feel happy to be defiled. Kikwete, and co are desecrating our country yet we have people like you who feel the sweetness of their acts! What a shame!
 
Siasa ngumu sana..... Makamba Snr si ndio alisema Nape kafungiwa mbinguni na duniani
 

Hujui kitu unaandika, una evidence alijaza wasukuma?
 
Ingawa haikusaidia maana leo yupo wapi?
Kwamba alizivujisha ili aishi miaka 100? Unajua impacts za hizo clip? nenda kwenye page za wahusika ndio utajua jamii ililichukuliaje suala hilo
 
Nchi hii bila jeshi kuchukua hatua tutakuwa watumwa wa mafisadi milele!
Lichukue hatua mara ngapi!? Limeisha wahi kupata mtu wao ikulu, na watu wao kwenye chama unataka lifanye nini sasa! Au hukuelewa kusanyiko. Tatizo mnalitwika jeshi majukumu ambayo siyo yake! Acheni jeshi lifanye kazi za kijeshi.
 
Aiseh!tukubali yaishe!sema hawa jamaa huwa wanatujali walau kidogo!!!Kikwete na Mwinyi senior wametujali angalau!!
Apart from hayo makundi, unadhani hakuna watanzania wengine wenye karama ya uongozi, sasa unajiita raisi ajaye alafu unaishi kwa kutegemea kudra za waliokupatia sh 100 kwenye bil walizochota then unaona wanakujali
 
Ama kweli nchi hii ni ya wenye nchi.

Sukuma gang watapukutishwa sana siku za mbeleni.

Nawaonea huruma sana sukuma gang!
Wakati Sukuma Gan wanapukutishwa, jiulize wewe na uzao wako mtafaidika vipi akina Nape na January wakiwa wanakula keki ya taifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…