Kumbukizi ya miaka 59 toka Said Mwamwindi amuue RC Dkt. Kleruu siku kama ya leo mwaka 1971

JOHN CRABLE(maarufu Crable) alikuwa headmaster na makazi yake yalikuwa hapohapo shuleni pamoja na walimu wote.
 
Ahsante sana kwa historia hii!
 
Picha hazionekani mkuu
 
Mzee Ibrahim Khalil(marehemu), alihamia Temeke Dar akiwa na matrekta yake! Serikali ya Nyerere haikujali kilimo japo ilipenda kujionesha inakipenda kilimo. Kleruu alisambaratisha kilimo cha mahindi Isimani Iringa akasingizia vita ya Uganda!
 
Dhulma na chuki dhidi ya Matajiri imeanza kitambo sana


1) Unaenda kupora mashamba ya watu binafsi kugeuza ya Umma wakati kuna mapori mengi tu ambayo ungeweza kuyalima na kugeuza ya Umma

2)Kuua kaua Mwamwindi unaenda kupora Majumba ya Rafiki zake Mwamindi ili iweje kama si kuwakomoa

3) 7th April, 1972 kule Kisiwandui alitokea 'Mwamindi' mwingine japo Story ikageuzwa geuzwa eti Wapinga mapinduzi
 
Mpaka hapo namuona Mwamwindi kama shujaa wangu wa muda wote. Hakupenda kudhalilishwa na kuonewa. Na imetuchukua miaka 50 kumpata shujaa mwingine Hamza. Mwenyezi Mungu awape pumziko jema walikuwa wanaume majabali kwelikweli.
Ditopile yeye alimuua dereva daladala, nae tumuweke kwenye kundi la mashujaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…