Kumbukizi ya miaka 59 toka Said Mwamwindi amuue RC Dkt. Kleruu siku kama ya leo mwaka 1971

Ulikua ni ujinga ulio pitiliza kipimo.
 
Kwa maelezo hayo, Dk. Klerru alikuwa ni jamii ya kina makonda na sabaya.
Hapana. Ni tofauti kama mbingu na ardhi. Dr Kleruu alikuwa muumini wa ujamaa na aliuawa kwa kusimamia alichokiamini. Makonda na Sabaya hawa ni opportunists, wanafiki, wanasio na imani yoyote bali kujikweza na kujinufaisha wao.
 
Nyerere alifeli sana name sera yake ya ujamaa. Ualiturudisha nyuma sana. Na haya matatizo yote ya sasa ni kwa sababu hiyo.
Sera ya ujamaa ilikuwa Ni Sera ya kipuuzi.Ilikuwa inahamasisha uvivu na kutokuwa wabunifu.Mapori yapo kibao,unaenda kuwanyang'anya mashamba ambayo tayari yamesafishwa kwa nguvu na watu wengine
 
Ditopile kiburi cha madaraka hapo hakuna ushuja wowote. Pia tukio Mwamwindi huwezi kulilinganisha na la Ditopile ni scenario mbili tofauti.
Dito, Sabaya, Konda ni chungu kimoja.
 
Daaah..! Siku ya kiama itakua ni siku ngumu sana kuwahi kutokea.
 
Hebu fikiria mkulima aliyestawi kwenye kilimo anakimbilia Dar na matrekta yake! Atayafanyia kazi gani mjini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…