Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Kwa maelezo hayo, Dk. Klerru alikuwa ni jamii ya kina makonda na sabaya.
Sure kabisa
Akina makonda walikuwa tangu awamu ya kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maelezo hayo, Dk. Klerru alikuwa ni jamii ya kina makonda na sabaya.
Dhulma na chuki dhidi ya Matajiri imeanza kitambo sana
1) Unaenda kupora mashamba ya watu binafsi kugeuza ya Umma wakati kuna mapori mengi tu ambayo ungeweza kuyalima na kugeuza ya Umma
2)Kuua kaua Mwamwindi unaenda kupora Majumba ya Rafiki zake Mwamindi ili iweje kama si kuwakomoa
3) 7th April, 1972 kule Kisiwandui alitokea 'Mwamindi' mwingine japo Story ikageuzwa geuzwa eti Wapinga mapinduzi
Kwa msiojua, Rashid Mfaume Kawawa akiwa waziri mkuu wakati huo alikwenda Kyela Mbeya, baada ya kufika huko akaamuru kufunga maduka binafsi ili wananchi wafungue maduka ya ushirika! Vijana wa Kyela wa wakati huo hawakukubali wakakusanya mawe na kumpopoa Rashid, Nyerere akamwambia Rashid sikukutuma ufunge maduka ulitakiwa ufungue maduka ya ushirika halafu hayo ya binafsi yangejifunga yenyewe.
Ujamaa ndio umetufikisha hapa kama taifa,kua masikini na omba omba na kufanya vijana kukimbia vijiji vyao na kujazana mijini
Why?
Kabla ya ujamaa Kulikua na wakulima wa large scale plantation wakimiliki mashamba makubwa Sana ya uzalishaji
Mfano ya Mzee baba Mwamwindi ,
Na Watu enzi hizo walikua wakiishi Kwenye mashamba makubwa ya ukoo yaliyojitosheleza Kwa chakula na biashara pia,kile kitendo Cha kuwatoa Kwa Nguvu Kwenye base zao na kuwarundika Kwenye vijiji vya ujamaa ulikua ni uwendawazimu wa kiwango kikubwa Sana
Note: Usingekua ujamaa Leo tungekua na Mabepari weusi kibao wanaomiliki uchumi mkubwa Sana na ingeongeza hamasa Kwa vijana kuanzisha mashamba ya kisasa kabisa imagine miaka ya 60's huko kina Mwamwindi wanamiliki maekari ya mashamba,majumba,matrekta nk
je wasingepokwa miaka ile Leo familia zao zingekua na ukwasi wa kiasi Gani?
Nchi za kibepari familia zote zina ukwasi kiasi gani? Ukiishi kwa fikira hizo hautaendelea, kulima na kutunza shamba kunaendana na upatikanaji wa maji na usimamizi wa kila siku.Ujamaa ndio umetufikisha hapa kama taifa,kua masikini na omba omba na kufanya vijana kukimbia vijiji vyao na kujazana mijini
Why?
Kabla ya ujamaa Kulikua na wakulima wa large scale plantation wakimiliki mashamba makubwa Sana ya uzalishaji
Mfano ya Mzee baba Mwamwindi ,
Na Watu enzi hizo walikua wakiishi Kwenye mashamba makubwa ya ukoo yaliyojitosheleza Kwa chakula na biashara pia,kile kitendo Cha kuwatoa Kwa Nguvu Kwenye base zao na kuwarundika Kwenye vijiji vya ujamaa ulikua ni uwendawazimu wa kiwango kikubwa Sana
Note: Usingekua ujamaa Leo tungekua na Mabepari weusi kibao wanaomiliki uchumi mkubwa Sana na ingeongeza hamasa Kwa vijana kuanzisha mashamba ya kisasa kabisa imagine miaka ya 60's huko kina Mwamwindi wanamiliki maekari ya mashamba,majumba,matrekta nk
je wasingepokwa miaka ile Leo familia zao zingekua na ukwasi wa kiasi Gani?
Kawawa alikuwa Musukuma au Kibajaji wa akati huo, elimu ndoho.Kawawa alikuwa 'Tambala la deki' la Nyerere
Mambo mengi Nyerere alikuwa anamtuma Kawawa, yakipingwa huko anaenda kumgeuka hadharan ( Tabia za JKs)
Akiaga Wazee Diamond Jubilee 1985 Nyerere alitoa machozi alitoa shukran zake kwa uvumilivu wa Kawawa
Akimuelezea tena Kawawa kwa uvumilivu huo Nyerere kwny Kitabu chake cha Siasa yetu na Hatma ya Tanzania anasema 'Hutokea mara chache sana Mungu kuumba watu wa roho kama ya Kawawa' maneno haya ukiyatafakari utajua Kawawa alibebeshwa vipi mizigo ya lawama
Hata Operation vijiji vya Ujamaa ilivyoshindwa gunia la lawama alibebeshwa Kawawa
Kawawa alikuwa Musukuma au Kibajaji wa akati huo, elimu ndoho.
Hii niliisikia kwa marehemu ilunga.Kawawa alikuwa 'Tambala la deki' la Nyerere
Mambo mengi Nyerere alikuwa anamtuma Kawawa, yakipingwa huko anaenda kumgeuka hadharan ( Tabia za JKs)
Akiaga Wazee Diamond Jubilee 1985 Nyerere alitoa machozi alitoa shukran zake kwa uvumilivu wa Kawawa
Akimuelezea tena Kawawa kwa uvumilivu huo Nyerere kwny Kitabu chake cha Siasa yetu na Hatma ya Tanzania anasema 'Hutokea mara chache sana Mungu kuumba watu wa roho kama ya Kawawa' maneno haya ukiyatafakari utajua Kawawa alibebeshwa vipi mizigo ya lawama
Hata Operation vijiji vya Ujamaa ilivyoshindwa gunia la lawama alibebeshwa Kawawa
Kungekuwa na ubepari sasa hivi wewe ungekuwa na nini cha maana sasa hivi?Nyerere alifeli sana name sera yake ya ujamaa. Ualiturudisha nyuma sana. Na haya matatizo yote ya sasa ni kwa sababu hiyo.
Kaka mimi nimezaliwa katika familia duni. Na kila kitu ninachimiliki sasa hivi ni kutokana Na juhudi zangu binafsi Na baraka zake mungu.Kungekuwa na ubepari sasa hivi wewe ungekuwa na nini cha maana sasa hivi?
Jifunze tena nini maana ya UJAMAA maana wengi wenu huwa mnaongea utafikiri UJAMAA ni mfumo mbovu kwa 100% na Ubepari ni mfumo sahihi kwa 100%.Kaka mimi nimezaliwa katika familia duni. Na kila kitu ninachimiliki sasa hivi ni kutokana Na juhudi zangu binafsi Na baraka zake mungu.
Hakuna kitu hata kimoja serikali imewahi kunisaidia. Hata shule nilizosoma enzi hizo tulikua tunalipa ada.
Usiwe na uoga wa maisha kwa kulinganisha na waliokua nacho. Fanya juhudi ili na wewe uwe kama wao. Sio kulazimisha wao wawe kama wewe. Wote hamna kitu. Mungu ndio mtoaji.
Kwenye hii kama mfano. Kama serikali ingewasapoti wakulima wazawa kama hao. Watoe elimu kwa wenzao kwamba wamefikali huko. Na kuhamasisha wenzao kwamba kila kitu hata sisi tunaweza. Hivi Leo tungekuwa na wakulima wakubwa wazawa wangapi? Au kilimo chetu cha kisasa kingekuwa wapi? Jaribu kufikiri.
UJAMAA NI DHULUMA NA NI KUNYUME NA HAKI ZA BINADAMU. NYERERE ALIFELI KWENYE HILI. Mungu amuweke mahali pema huko alipo.
Na wewe pia ujifunze na uwe mchambizi wa mambo kwa merit, sio kwa ushabiki tu. Ni wazi kabisa kwamba mimi siukubali UJAMAA. lakini sijasema UBEPARI (CAPITALISM) ni bora!Jifunze tena nini maana ya UJAMAA maana wengi wengi huwa mnaongea utafikiri UJAMAA ni mfumo mbovu kwa 100% na Ubepari ni mfumo sahihinkwa 100%.
Kwa taarifa yako Ujamaa ndio ubinadamu, hata Marekani upo!!
Leo kungekuwa na Ubepari hata ardhi ya kuishi labda uaingekuwa nayo. Nenda hapo Kenya ukaone.
Leo hii watu wanashiriki kuzika, kuchimba kaburi bure kabisa unadhani ni ubepari huo.
Hivyo vikao vya ukoo, VICOBA, SACCOS na vikundi vya kusaidiana unadhani ni ubepari huo?
Hiyo mifumo ya serikali kuwapangia waajiri kima.cha mishahara unadhani ni ubepari huo.?
Kwahiyo unachotaka kusema hapa nini?Na wewe pia ujifunze na uwe mchambizi wa mambo kwa merit, sio kwa ushabiki tu. Ni wazi kabisa kwamba mimi siukubali UJAMAA. lakini sijasema UBEPARI (CAPITALISM) ni bora!
We need a middle ground and something that works for us. Na kwa bahati nzuri sasahivi tunao huo mfumo. Unaitwa market Economy( note hapo sijatumia neno free )
Ila kitokana na matatizo sugu kutokana na makosa ya waliofanya waasisi wa taifa hili. Huu mfano bado hatujafikia 100% effective. (Huu ni mjadala mwingine)
Tanzania ni ndio nchi inaongoza Africa kwa "economic inclusiveness " na pia Tanzania ni moja ya nchi kumi Africa zenye level ya juu kabisa ya economic freedom. Unafikiri kama tungekuwa tumeganda na zile sera ZA kina hawa DC tungekuwa huko.
Sera yetu ya uchumi ya sasa ni nzuri sana. Na inaweza kutupeleza bali kama kweli tukiamua.
Acha uongo WeweeJifunze tena nini maana ya UJAMAA maana wengi wenu huwa mnaongea utafikiri UJAMAA ni mfumo mbovu kwa 100% na Ubepari ni mfumo sahihi kwa 100%.
Kwa taarifa yako Ujamaa ndio ubinadamu, hata Marekani upo!!
Leo kungekuwa na Ubepari hata ardhi ya kuishi labda usingekuwa nayo. Nenda hapo Kenya ukaone.
Leo hii watu wanashiriki kuzika, kuchimba kaburi bure kabisa unadhani ni ubepari huo.
Hivyo vikao vya ukoo, VICOBA, SACCOS na vikundi vya kusaidiana unadhani ni ubepari huo?
Hiyo mifumo ya serikali kuwapangia waajiri sekta binafsi kima cha mishahara unadhani ni ubepari huo.?
Miaka ya hamsini Kawawa alikuwa muigizaji wa sinema na muvi alizoigiza ni Meli inakwenda, Ali mjanja, Dawa ya mapenzi na nyingine nimezisahau, wakati huo aliajiriwa Idara ya Maendeleo na Idara ya Habari ilikuwa na kitengo cha kutengeneza filamu kilichojulikana kama Film Unit na ndio waliopiga picha za sinema wakati huo, kwa kifupi ni mmoja wa wacheza sinema wa kwanza Tanganyika akiwa na mzee Charles.Elimu ya darasa la nane la 1950 unaifananisha na la saba la miaka ya kina Kabajaji
Ukitaka kumfananisha Kawawa elimu yake mfananishe na wa level yake wakati huo, babu yako aliishia la ngapi?
Sio unafananisha la nane la 1950 na form four za waendesha boda boda wa leo
Usilolijua 1955 tayari Kawawa alikuwa Katibu Mkuu wa umoja wa vyama vya Wafanyakazi Tanganyika nzima
Alipata alichokitafuta itoshe kusema hivyo... umegonga pale pale! Kwa yale matusi ya RC, hakuna binadamu mwenye akili timamu angevumilia! Kiburi hususan cha madaraka ni kitu kibaya sana; kiongozi anatakiwa awe mfano, mstaarabu, na muungwana kwa anaowaongoza badala ya kutumia ubabe unnecessarily ili kujionesha "mimi ni nani".
Kama dhima ya serikali ilikuwa kuanzisha vijiji vya ujamaa obviously kulikuwa na sheria inaelekeza hivyo; RC angetumia sheria badala ya ubabe wa kipumbavu! Kimsingi, Kleruu alijitafutia kifo chake mwenyewe wala hakuna sababu ya kutetea ujinga!
... mpuuzi kweli yule. Huku akimfuata Mwamwindi kwa nyuma na matusi juu, Mamwindi naye akawa anaongeza kasi kuliacha shamba kuelekea ndani; jeuri ya madaraka ikamtia upofu wala hakushtuka! Dakika chache baadaye akageuka maiti! Ni siku ya Xmas, kila mtu ana mishe zake, badala ya kutulia unatumia cheo kwenda ku-harass wananchi; mbaya sana.Alipata alichokitafuta itoshe kusema hivyo