Kumbukizi za Kilingeni Msata: Aina mbalimbali za hirizi na makafara

Kwa mahitaji na matumizi mbali mbali
Kuharibu
Kutengeneza
Kukinga
Kulinda
Kufungwa
Mvuta nk

View attachment 3149680

in the picture, that kind of witchcraft, mostly is done in latin America. It is called Brujería.

Hapa kwetu watu wanaogea maji ya kusafishia vichanga na maji ya kusafishia maiti ili mambo yao yakae sawa. Ushirikina ni laana. Unaogeaje maji ya kuoshea maiti?
 
Hivyo vilinge vina uhusiano wowote na ukristo?rejea picha ya kwaza nimemuona Yusufu kambeba mtoto Emma
Kuna kitu kinaitwa uganga wa kitabu.
Kwa imani nyingine utakutana na mganga kwenye mavazi rasmi ya kidini na hana tunguli nyingi .. Ugqnga wote ni kitabu mwanzo mwisho
Kweenye Ukristo pia na imani nyingine kuna waganga wanafanya ulozi featuring imani zao.. Yaani wanapiga kolabo, ndio maana kwenye vilinge vyao unaona vitu kama hivyo lakini vyote hivyo ni ubatili mtupu kwakuwa hizi ni falme mbili tofauti zisizolandana wala kuchangamana.. Ni giza na nuru
Kama kuna wanaosaidika kupitia kwao ni NGUVU ya imani hao tuu
 
Nilikuwa najua mashekh tu ndio wana uganga wa vitabu,asante kuna kitu nimepata
 
kuna kipindi ndugu yangu mmoja alitupiwa maruhani(majini) yakawa yanamsumbua sana.
Kuna sehemu akapatikana mtaalamu wale ndugu zangu nikawaambia kama vipi nichungulizieni na mimi.Jioni nimerudi nikapewa ABC kuhusu kwenye kibarua changu,nikaambiwa kuna wahikaji 2 wanampango wa kukung'oa ,kisa ni wivu na umewazidi na relation yako na bos wako inawauma.
kweli kitu kama kile kilikuwapo kwenye offisi yangu ila mimi nilichukulia poa ,nikajitahidi kuwapenda kinoma as brothers lakini familia sikuwahi waambia ile changamoto niliokuwa napitia kazini
Yule mzee aliwaambia home mwambieni jamaa ajiweke vizuri watamtoa kwenye nafasi hiyo,nikapuuzia tu.
Finaly ilitokea issue ndogo sana isio na mpango,mbona nilitolewa kwenye idara na kidogo nifukuzwe nikapewa majukumu mengine.
Tunayadharau haya mambo lakini kuomba Mungu ussingie kwenye 18 zao
 
maruhani hatupiwi mtu acha uongo, maruhani ni majini ya uganga
 
Duh mkuu, Hivi ukitaka kujua kama umelogwa unafanyaje? Maana naona sielewi
 
Oya mie naombeni dawa yakuwa invisible niingie pale banki kuuu
 
Kuna kitu kinaitwa uganga wa kitabu.
Kwa imani nyingine utakutana na mganga kwenye mavazi rasmi ya kidini na hana tunguli nyingi .. Ugqnga wote ni kitabu mwanzo mwisho
Kweenye Ukristo pia na imani nyingine kuna waganga wanafanya ulozi featuring imani zao.. Yaani wanapiga kolabo, ndio maana kwenye vilinge vyao unaona vitu kama hivyo lakini vyote hivyo ni ubatili mtupu kwakuwa hizi ni falme mbili tofauti zisizolandana wala kuchangamana.. Ni giza na nuru
Kama kuna wanaosaidika kupitia kwao ni NGUVU ya imani hao tuu

But Mshana, why Msata? Kuna maneno mengine mpaka ulale uamke na kuamka tena ndio utaelewa
 
Kabisa and he phoned me this morning, kuna friend wangu alikuwa na tatizo la kuugua visigino, kumbe Walozi walichukua soksi za friend wangu wakazifanyia science ya giza halafu wakazifunga na kufuli la Solex. Wakati jamaaa yangu anamuagua alilivuta kufuri lilikuwa limezikwa makaburini Singida huko. Kufuri likaja likiwa limeifunga soksi. But there was no key to unlock the padlock, akafanya mambo ikavutwa ile funguo ikaja ni ile padlock ikawa unlocked. Friend wangu kapona kabisa visigino sasa.
Duh! Wakali wa hizi kazi 🙌.
Anapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom