kuna kipindi ndugu yangu mmoja alitupiwa maruhani(majini) yakawa yanamsumbua sana.
Kuna sehemu akapatikana mtaalamu wale ndugu zangu nikawaambia kama vipi nichungulizieni na mimi.Jioni nimerudi nikapewa ABC kuhusu kwenye kibarua changu,nikaambiwa kuna wahikaji 2 wanampango wa kukung'oa ,kisa ni wivu na umewazidi na relation yako na bos wako inawauma.
kweli kitu kama kile kilikuwapo kwenye offisi yangu ila mimi nilichukulia poa ,nikajitahidi kuwapenda kinoma as brothers lakini familia sikuwahi waambia ile changamoto niliokuwa napitia kazini
Yule mzee aliwaambia home mwambieni jamaa ajiweke vizuri watamtoa kwenye nafasi hiyo,nikapuuzia tu.
Finaly ilitokea issue ndogo sana isio na mpango,mbona nilitolewa kwenye idara na kidogo nifukuzwe nikapewa majukumu mengine.
Tunayadharau haya mambo lakini kuomba Mungu ussingie kwenye 18 zao