Kwa hio walipunguza nguo?Unapovua nguo hii inakupa auheni na joto lililopo kutokana na bomu
Ukiwaangalia hawa kwa makini, utaona jamaa anazama chumvini Kwa demu wake mara ya mwisho kabla lolote halijatokea 😂Mboni nimeona hao watu wako uchi?
Mdau haufananiii na hizi harakati 🤦🤣🤣🤣Ukiwaangalia hawa kwa makini, utaona jamaa anazama chumvini Kwa demu wake mara ya mwisho kabla lolote halijatokea 😂
View attachment 3460334
DuhUkiwaangalia hawa kwa makini, utaona jamaa anazama chumvini Kwa demu wake mara ya mwisho kabla lolote halijatokea 😂
View attachment 3460334
Macho hayana pazia mkuuMdau haufananiii na hizi harakati 🤦🤣🤣🤣
Picha hii ilipigwa na Rob howard ikionyesha sekunde kadhaa kabla ya ndege aina ya boeing 767-200 kujibamiza kwenye jengo la pili la WTC. September 11 2001View attachment 3460330
Osama 1971@ Oxford university