Kumbukumbu katika picha ya shambulizi baya la kigaidi septemba mwaka 2001 kwenye majengo ya world trade center huko marekani

Kumbukumbu katika picha ya shambulizi baya la kigaidi septemba mwaka 2001 kwenye majengo ya world trade center huko marekani

Wakazi wa downtown manhattan wakiangalia majengo haya mwawili kwa huzuni wasijue nini cha kufanya baada ya kulipuliwa na magaidi September 11 2001.
FB_IMG_1756648940065.jpg
 
Picha hii iliyonaswa ikimuonuesha afisa wa zimamoto wa idara ya zimamoto akipanda ngazi pamoja na wenzake wakielekea kwenye impact zone ya jengo la North tower Mike kehoe. Picha hii ilipigwa ikionyesha kwa jinsi gani maafisa hawa wa zimamoto walivyojitolea kuokoa watu wengi kadiri walivyoweza.. bahati nzuri yeye pamoja na maafisa wenzake walinusurika baada ya jengo la north tower kuporomoka.
FB_IMG_1756649184943.jpg
 
FB_IMG_1756649550896.jpg

Moja wa maafisa waokoaji kutoka newyork fire department akiwa amepumzika kwenye vifusi vya majengo ya Wtc kutokana na uchovu wa shughuli nzito ya uokoaji katika siku hiyo ya September 11 2001.
 
Picha hii ya baba na mtoto. Mzee Raymond Alexander na mwanae Robert ambao walikuwa ni moja ya watu wa kwanza kufika kushuhudia eneo la WTC muda mfupi baada ya kushambuliwa katika juhudi za kufanya uokozi.. miaka kadhaa baadaye wote hawa waliugua kansa kutokana na athari za moshi uliotokana na kuporomoka kwa majengo hayo ya wtc. Waliji sacrifice haswa katika kuwaokoa wenzao
FB_IMG_1756649821044.jpg
 
Picha kwenye frame ya kwanza ni jengo la Hoteli ya Mariott Hotel mkabala na jengo la WtC kabla ya shambulizi la September 11 2001. Frame ya pili ni mabaki ya hotel hii ya Mariott. RIP
FB_IMG_1756650151468.jpg
 
Ma bro wawili wakiwa wamejipumzisha kutokana na uchovu wa kupaka rangi kwenye jengo mojawapo la WTC. Hii ni kabla ya September 11, 2001
FB_IMG_1756650464507.jpg
 
Hawa wawili wakiosha gari yao aina ya Mazda Miata kwenye mtaa wa Manhattan baada ya kuporomoka kwa majengo ya Wtc siku kadhaa baadaye. Kwa nyuma kule unaweza kuona mabaki ya jengo mojawapo la WTC yakiwa bado yamesimama.
FB_IMG_1756650614170.jpg
 
Kama unavyoona hapa. Hii ni eneo la ground zero muda mfupi baada ya Majengo haya ya wtc kuporomoka
FB_IMG_1756650829599.jpg
 
Picha hii ya mwaka 1981 ikionyesha hotel maarufu ya Mariott ikiwa mkabala na majengo pacha ya Wtc kwenye mtaa wa Manhattan Newyork
FB_IMG_1756651117351.jpg
muda mfupi baada ya kuzinduliwa.
 
Sehemu ya juu ya jengo la WTC majira ya usiku . Picha hii ilipigwa mwaka 1991.
FB_IMG_1756651353066.jpg
 
Moja ya jengo la karibu yalipo majengo ya Wtc lililoathrika kutokana na kuangukiwa na vifusi vya mabaki ya majengo hayo ya wtc
FB_IMG_1756651507830.jpg
 
End of the glory. Picha hii ikionyesha jengo la hotel ya Mariott likiwa limesimama kwa mara ya mwisho sekunde chache kabla ya kuangukiwa na mamia ya tani ya vifusi ya majengo pacha ya Wtc yaliyoporomoka.
FB_IMG_1756651816622.jpg
 
Back
Top Bottom