Maybe kulikuwa na some kind of disturbance kwenye main pillar ya hilo jengo... pia Mafuta ya hizo ndege yalileta damage kubwa haswa. That's why baadhi ya structures za hilo jengo ambazo zilikuwa kama weak points ndizo zilifanya jengo zima kuporomoka.Kuna mambo mengi hayaongelewi kuhusu hilo shambulio
1. Kwanza wataalam wa majengo wanakubaliana kabisa kuwa impact ya kugongwa na ndege pale juu haikutosha kuangusha jengo zima
2. Impact ya kogongwa pale juu haikutosha kuangusha jengo kwa mfumo wa kudidimia wakimaanisha kulikuwa na nguvu nyingine kutokea
3. Baada ya majengo kuanguka ule udongo wote usisafirishwaa kwenda nchi ya nje na hivyo hakuna sample ya kufanyia uchunguzi
DuuhNlikua drs la 6
Nilikuwa kwa Tata Madiba
MwambaView attachment 3460353
Osama Bin Laden, akiawa Oxford university 1971, kabla hajaielewa JIHAD, alikuwa na lifestyle ya ki magharibi
duhh! Shikamoo dada! Mimi hata sikuwa najua kama nitazaliwa!Nlikua drs la 6
Marahabaduhh! Shikamoo dada! Mimi hata sikuwa najua kama nitazaliwa!
Ebu tuambie...Hili tukio Lina conspiracy theories nyingi sana.
unajua uzinzi hufanyika sana maofisini,,,,Mboni nimeona hao watu wako uchi?
Alipona?Aliyebebwa hapa ni mtumishi wa mungu Rev. Maychal . F. Judge ambaye alikuwa ni chaplain kutoka idara ya zimamoto ya mji wa Newyork . Hapa alikuwa ameangukiwa na vipande vya jengo mojawapo lililoporomoka la WTC. Alifika hapa kuwafanyia maombi ya mwisho maafisa wa zimamoto waliokuwa kwenye eneo hili kabla ya kuingia kufanya uokozi.. lakini kama isivyo bahati akaangukiwa na baadhi ya mabaki ya jengo hili la wtc September 11 2001.View attachment 3460350
Ingekuwa huku bongo bahati Mbaya usingejua hata maafisa gani walikuwepoGari ya zimamoto Ladder 118 ikipita kwenye daraja la Brooklyn ikiwahi eneo la mkasa la zero ground September 11 2001. Maafisa wote waliopo kwenye hii gari hawakufanikiwa kurudi wakiwa hai baada ya vifusi kuwafunika wote baada ya majengo hayo kuporomoka.
Maafisa waliokuwa ndani ya hii gari ya zimamoto ni; vernon cherry miaka 49, Leon smith 48, Robert regan 45, Pete vega 36, joey agnello 35 pamoja na Scott davidson 33. Maafisa hawa wote walikufa eneo la mkasa huu wakijaribu kuokoa.View attachment 3460581