😂😂😂😂😂Ukiwaangalia hawa kwa makini, utaona jamaa anazama chumvini Kwa demu wake mara ya mwisho kabla lolote halijatokea 😂
View attachment 3460334
Umenikumbusha nyimbo moja ya injili aliyoimna mwanamama kutoka Kenya anaitwa Peace mulu. Kuna nyimbo yake moja ina hii footage ya kuporomoka haya majengo... ila viongozi wa kidini waliutumia huu upepo kukusanya waumini wasio jielewa kuwatisha kuhusu mwisho wa dunia kupitia hili tukio.Inasikitisha sana, hiyo video za dini ilikuwa inaonesha sana kama mwisho wa dunia